Serikali, zungushieni uzio wa katika eneo watu wanapoteka maji na kuoga huko Buchosa, Sengerema kuepuka hatari za kushambuliwa na mamba

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Leo nimesikia habari ya mwanamke aliyeliwa na mamba huko Buchosa Sengerema na kuhuzunika sana.tunaiomba serikali itenge eneo ambalo watu watachota maji na kuogelea kisha waweke nguzo na seng'enge zitakazokuja mpaka nchi kavu na waweke geti ili mamba asiweze kutoka nje ya ziwa na kujichomeka eneo salama la kutekea maji.ni hilo tu.

Wagombea nadini hili tuwachague.

images(1).jpg
 
Leo nimesikia habari ya mwanamke aliyeliwa na mamba huko Buchosa Sengerema na kuhuzunika sana.tunaiomba serikali itenge eneo ambalo watu watachota maji na kuogelea kisha waweke nguzo na seny'enge zitakazokuja mpaka nchi kavu na waweke geti ili mamba asiweze kutoka nje ya ziwa na kujichomeka eneo salama LA kutekea maji.ni hilo tu.Wagombea nadini hili tuwachague.
Hili linawezekana sema viongozi wetu ndo wazito wa kuchukua maamuzi ya hivo!
 
Poleni sana aiseee!

OUT OF TOPIC
Hiyo picha hapo juu imenifanya niendelee kuwaona ni wendawazimu wanaosema tiger anaweza akamchomoa mambo majini na kuondkka nayo.

Hiko ni kipande haswa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom