Ni wakati wa Serikali ya Tanzania kuwapeleka Polisi kutembelea wenzao wa Ujerumani, Uingereza, Australia, Ufaransa, China & USA kubadilishana uzoefu

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Nadhani ili kubadilishana uzoefu wa kazi ni vyema polisi wetu wakawezeshwa na Serikali kwenda nchi nilizozitaja hapo juu kuona wenzao wanafanyeje, ili kama kuna mapungufu wayajazilishie na kama wenzao wanayo wawajazilishie

Mfano wataangalia selo zao na aina ya bajeti waliyojiwekea ktk kuwahudumia watu walio selo lakini na wao watajifunza wenzao wa Tanzania wanafanyeje fanyeje ktk matukio kama ya maandamano gari la polisi maarufu kama tenga likiwa linakuja si rahisi kuliona unashtukia wajomba wameshatanda

images.jpg
 
Back
Top Bottom