China itautingisha uchumi wa Marekani ikiwa tu Wanawake wa China watakubali kuzaa na Waafrika

NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
6,305
2,000
Angalia profile picture yangu utaelewa kama unajua kudadavua mambo
Haaa,kama nimeelewa tofauti kuhusu profile yako utanikosoa mkuu.
Mzungu kazaa na muafrica akapatikana chotara wa kiafrica mwenye akili,nguvu ya ushawishi na maarifa mpaka kuwa Rais wa US nchi ambayo super power tena yenye wazungu wengi kuliko weusi.

kwa maelezo hayo ya profile yako inamaanisha mchina mwenye juhudi,uwezo na maarifa akizaa na muafrica basi kitatoka kizazi kitakachokuwa na juhudi,uwezo na maarifa ambacho kitakuwa na asili ya AfriChina kitakachotumia rasilimali za Africa ipasavyo ili kuipiku U.S.
 
FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
500
Unakwenda nje ya mada jibu niliyokuuliza.
Mwafrika ni rafiki mwema anajua kusaidia,vitani mkienda nae hasaliti pia ni comedian mzuri wakati wa shida hutoa tumaini Leo hii Waafrika wakisema wanahama Marekani na ulaya na kirudi afrika,wazungu watabaki wakiwa naamini kwa asilimia mia wazungu hawatawaruhusu ndio utajua umuhimu wao
 
In deed
 
Teenager

JF-Expert Member
Jun 28, 2020
818
1,000

Still unatoa maelezo yaliyo nje ya mada yako mwenyewe sasa kuwa comedian na kwenda vitani kunaingiliana vipi na uchumi?

Jibu yale niliyokuuliza mkuu.
 
Teenager

JF-Expert Member
Jun 28, 2020
818
1,000
Haaa,kama nimeelewa tofauti kuhusu profile yako utanikosoa mkuu.
Mzungu kazaa na muafrica akapatikana chotara wa kiafrica mwenye akili,nguvu ya ushawishi na maarifa mpaka kuwa Rais wa US nchi ambayo super power tena yenye wazungu wengi kuliko weusi.

kwa maelezo hayo ya profile yako inamaanisha mchina mwenye juhudi,uwezo na maarifa akizaa na muafrica basi kitatoka kizazi kitakachokuwa na juhudi,uwezo na maarifa ambacho kitakuwa na asili ya AfriChina kitakachotumia rasilimali za Africa ipasavyo ili kuipiku U.S.
Kati ya mzungu na huyo muafrika waliyezaa huyo chotara nani aliyemzidi mwengine?
 
Dalmine

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
4,618
2,000
Ili Uchumi wa Marekani utikisike basi ni mpaka wanawake wa China watakapokubali kuzaa na waafrika ili kupata kizazi chenye nguvu na maarifa kama ilivyokuwa kwa wazungu miaka mingi iliyopita,ila wakijitenga wao kama wao si rahisi

Piga uwa, sehemu yoyote aliepo mtu mweusi lazima kuwe na changamoto. Mtu mweusi sio mtu wa kazi na kujituma, kwanza huwezi linganisha mchina na mwafrika kwa akili na uchapakazi, au huwezi linganisha mchina na mzungu, Mchina namba ingine iyo.
 
NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
6,305
2,000
Kati ya mzungu na huyo muafrika waliyezaa huyo chotara nani aliyemzidi mwengine?
Jibu ni mzungu ndiye aliemzidi muafrica.

Ila kama ntakua nimemuelewa mleta mada kuzaa AfriChina alimaanisha kuzaa kimkakati na sio kuzaa kama alivyozaliwa the late prezoo wa U.S Mr.Obama,ndo maana kwa Obama mzungu kamzidi muafrica kwasababu haukuwa mkakati.
 
Teenager

JF-Expert Member
Jun 28, 2020
818
1,000
Jibu ni mzungu ndiye aliemzidi muafrica
Kama mzungu amemzidi muafrika na kupata huyo chotara basi akizaa mzungu kwa mzungu huyo mtoto watakaempata basi atakuwa mara mbili ya huyo chotara na hivyo kufanya point ya mleta mada isiwe na mashiko.

Pia ukiangalia rais chotara ni mmoja tu huko marekani na wengine wote wazungu hii nayo inafanya point ya mleta mada iwe weak zaidi.

Labda kama lengo ni kusaidia waafrika na sio waafrika wasaidie wachina au wazungu.
 
NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
6,305
2,000
Piga uwa, sehemu yoyote aliepo mtu mweusi lazima kuwe na changamoto. Mtu mweusi sio mtu wa kazi na kujituma, kwanza huwezi linganisha mchina na mwafrika kwa akili na uchapakazi, au huwezi linganisha mchina na mzungu, Mchina namba ingine iyo.
Ndo maana mleta mada nahisi akaleta wazo la uchakachuzi wa hiki kizazi cha pure African.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom