FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 449
- 408
Katika ulimwengu huu na kazi nzuri zilizokuwemo mule kama action, mapenzi, vichekesho, wangeshirikiana na watengeneza katuni wa kimataifa mbona wangekuwa mabilionea. Taarifa nilizonazo Masoud Kipanya alichoma nakala zote alizojitunzia za gazeti pendwa la Sanifu, kwanini Kipanya lakini ufanye hivyo?
Baada ya kuandamwa na aliowachora. Naomba muungane sasa Serikali yetu pendwa inawajali wasanii ili mzitafute nakala iwaunganishe na wa kimataifa hasa wabobezi wa katuni zitolewe kazi zenu, katuni za kwenye luninga.