Search results

  1. Hero

    Unapotoa kauli hizi huku ukijiita kiongozi basi ujitathimini

    Unaposena Kila kitu kitapanda bei... Muuzaji unamjengea mtazamo wa kupandisha bidhaa bei kiholela....hii inamuumiza mnunuzi au mfuata huduma! Unaposema hata Marekani umeme hukatikakatika.... Unamuandaa mtoa huduma ya umeme (Tanesco) asione haja ya kufanya Kila liwezekanalo kuepuka umeme...
  2. Hero

    Hivi kauli ya "mama anaupiga mwingi" ni njia ya kumtaka mafuta kwa mgongo wa chupa? Maana sijawahi kuielewa kabisa🤔!

    Jamani mnautumia kauli hiyo hebu nisaidieni maana kwangu sijawahi ona uongozi kwa huyu mama mwenye kuupiga mwingi! Natamani na Mimi niwe miongoni mwa wanaomsifia kwa 'kuupiga mwingi', ila deep down sioni la kumsifia mpaka Sasa, tafadhalini sana, nisaidieni!
  3. Hero

    Mzozo wa Ukraine: Julius Malema ataka Waafrika kuungana na Urusi

    Huyu malema sasa amekiwasha kweli kweli na sijui itakuwaje, ila ki msingi ameyasema yaliyomo moyoni mwangu japo kuwa sifurahii kabisa masahibu wanayoyapata wa 'Ukraine' kwa ujuha wa rais wao!
  4. Hero

    Stop Russophobia, stop ProxyWar

    Dear all, how are you? We are in a brink of WW3 which would not guarantee anyone's safety! American and NATO have instigated this war, and now, by providing weaponry to Ukraine, in actual sense they escalate the war with a huge risk of flipping into all-out WW3. Each moment the war is...
  5. Hero

    Sasa mama kopakopa na kuombaomba waombwaji ndio wamekinukisha tutaishije mama!

    Baba alipokuwa anatufundisha kujitegemea na kutoendekeza mikopo na kujidhalilisha kwa kupitisha bakuri kama ambavyo ww na yule anko mzago mnavyofanyaga, mlimuona marehemu baba kibwengo kabisa! Nakumbuka baba alituvusha ktk kipindi ambapo kusaidiana majirani haikuwezekana, lakini ndio kipindi...
  6. Hero

    Barabara inayounganisha Tabora na Katavi inafanyiwa hujuma

    Pamoja na uzuri wa barabara ilivyojengwa, hivi karibuni mkandarasi alisimika mabango yenye tahadhari za usalama barabarani hasa sehemu hatarishi. Mabango hayo siyo TU yaliongeza ubora wa barabara bali ilikuwa msaada sana kwa watumiaji barabara hasa nyakati za usiku. Cha kushangaza sana...
  7. Hero

    Mnaoelewa MSD wanachofanya ktk ununuzi wa vifaa tiba naona mtujuze!

    Kuna colleague wangu amekuja analalamika kuwa MSD wanawalazimishia kuwanunulia vifaa tiba kwa bei x2 zaidi kwa bei ya soko...jamaa ana hasira utafikiri nyati aliyejeruhiwa! Hivi medical store department (MSD) inamaana gani ktk manunuzi maana mie naona kama inaongeza bei ya vifaa tiba kwa...
  8. Hero

    Utitiri wa michango shule zetu za Msingi na Sekondari inaashiria nini?

    Tangu Magu atutoke (rest in peace our hero), tumeshuhudia utitiri wa michango kwenye shule zetu za elimu bure tena isiyo na stakabadhi halali ya Serikali pindi ulipapo. Mara mchango wa Maji ya kuflash vyooni (wasilete kwenye vidumu bali cash). Mara mchango wa mitihani/majaribio! Mara ya...
  9. Hero

    Wahanga wa bima za kampuni za ajali za magari tuonane😠

    Jamani, kumetokea utitiri wa kampuni za bima za magari nyingi sana nchini kiasi kwamba na makanjanja wamepetia humo humo. Makampuni haya ni mepesi sana kupokea hela kutoka kwetu wateja...lakini mteja lilikukuta la kukukuta la ajali ya gari wanaingia mitini kwa speed ya 5G. Wakitoa vijisingizio...
  10. Hero

    Tupia kituko ulichokutana nacho kinachochangia uduni wa elimu nchini

    Unajiuliza kwanini watoto wanafeli mitihani yao? Jibu hili hapa
  11. Hero

    Hivi kiongozi kufuata mkumbo wa dunia ni uongozi wa namna gani?

    Nimeshtuka sana baada ya mama yetu SSH kufanya maamuzi kwa kufuata mkumbo wa ulimwenguni wa kuchanja watu chanjo ya korona! Seriously, kwa kuwa dunia inachanja bila kujali madhara wanayopata kwa chanjo ya majaribio, na ukweli kwamba haikingi kihivyo, mnatutoa kwenye reli salama tuliyoachiwa na...
  12. Hero

    Chonde chonde Watanzania tuwaangalie wateule wa Rais kwa weledi wao

    Kumekuwa na manung'uniko kila mara rais Samia anapofanya teuzi kuwa zina muelekeo wa kuingia kuswali au kusali! Niwaombe watz, tutulize munkari! Teuzi za Ally H. Mwinyi zilileta matokeo kwa kiasi kile cha serikali ya awamu ya pili! Uteuzi wa Mkapa ulitufikidha pale alipoishia! Uteuzi wa JK nao...
  13. Hero

    Panya original wanasubiri panHi cartoon imenitafakarisha sana isee!

    Ngoja nisiongeze neno🙊!
  14. Hero

    Nchi inapokosa maono hulazimika kutekeleza maono ya mataifa mengine. Hii ni aibu kubwa, viongozi na watanzania tujitathmini

    Imekuwa ni kawaida kusikia wanasiasa kwa mfano wanatoa matamko yenye hamasa juu ya kuongeza mara soya, mara ufuta mara castor oil kwa kuwa wachina wanahitaji, nk. Kwa hiyo kama nchi tumekuwa bendera kufuata upepo kwa muda mrefu. Ndio maana hata baada ya kuanza kuendeleza bandari ya Dar, Kilwa...
  15. Hero

    Msimuingizie agenda zenu Rais Samia, maana maono yake ni yaleyale ya Hayati Magufuli

    Watu wanataka Samia aje na vision yake katika urais Tanzania Kimsingi huyu mama hata VP hakuwahi kuuota, na kwa hiyo hakuwahi kuwa na picha ya nini afanye akiwa VP! Kwa hiyo, kwa uaminifu kabisa aliendelea kumsaidia JPM kufikia maono yake juu ya kuwa nchi liyo na uhuru kamili kwa kujikomboa...
  16. Hero

    Prof. Assad hajitambui au anatumika?

    Nimemsikiliza Prof. Assad, na nimestaajabu sana kuwa ni profesa! Unajua shida inaanza pale mtu akifanya kiutafiti chake na kuchapisha na kuwa profesa kwa kaeneo hako alikotafitu sasa anageuka ghafla na kuwa professor wa yote! Huyu Assad ana njaa sana na uteuzi na kwa kweli sasa hivi...
  17. Hero

    Mnaomuonea wivu na kumchukia Magufuli, msiwe kama Kaini aliyeamua kumuua nduguye

    Magufuli, mheshimiwa rais wetu, amewatendea mema watz na kulinda maliasili yetu kwa wivu mkubwa! Pia amewalinda watz kutokana na propaganda za corona na kuokoa maisha wa watz wengi Sana kwa kuibua Mambo kadhaa yaliyopelekea watu kuanza kuhoji uwepo wa corona na kiwango Cha hofu kilichojengeka...
  18. Hero

    Africa united! Chinese aggression on blacks

    Dear fellow! As I was watching the clip below I found myself in mixed emotion! Please check and comment!
  19. Hero

    Shule binafsi zarejesha masomo kwa mgongo wa nyuma, zadai ada kwa wazazi

    Ktk kukabiliana na janga la ukata kwa walimu shule binafsi baada ya kufunga shule kuepuka corona, baadhi ya shule binafsi zimekuja na mikakati tofautitofauti ili kuwezesha kuwa husisha wazazi wa watoto waendelee kulipa ada hata ktk kipindi hiki ambapo shule zimefungwa! Njia hizo ni pamoja na...
Back
Top Bottom