Mnaoelewa MSD wanachofanya ktk ununuzi wa vifaa tiba naona mtujuze!

Hero

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
3,932
2,832
Kuna colleague wangu amekuja analalamika kuwa MSD wanawalazimishia kuwanunulia vifaa tiba kwa bei x2 zaidi kwa bei ya soko...jamaa ana hasira utafikiri nyati aliyejeruhiwa!

Hivi medical store department (MSD) inamaana gani ktk manunuzi maana mie naona kama inaongeza bei ya vifaa tiba kwa viwango vya airbus ukilinganisha na uhalisia!

Wanaojua naomba mnipe mashule!
 
"Wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia wazee na watoto"

Naomba mwenye ushahidi wa impact ya hii wizara katika vipengele nilivyo bold aniwekee hapa.
 
Back
Top Bottom