Wapi formula imekosewa?Vitabu vinapitishwa bila kuvihakiki!
Mtoto anakariri formula ya iliyokosewa!
Angalia pg 204 hapo juu, formula ya pytWapi formula imekosewa?
Iangalie vizuri hiyo formula, nimeikata 2 na kuiandika kwa mkono(penseli) juu!Unajiuliza kwanini watoto wanafeli mitihani yao?
Jibu hili hapa
View attachment 1868334
View attachment 1868336