Hivi sindano au sylinge kama hii zimetengenezwa kwa matumizi gani ktk kipindi hiki cha kudungana vijanjo vya majaribio?

Unajua nimetafakari sana mtu kubuni na mpaka anaingia gharama ya kutengeneza na kusambaza 4 what?
 
Haaaaaaaaaa, ebaaaaana eeeeeeeh, kumbe ile juzi walikuwa wanataka tu kuingiza watu kingi?!!! Jamani, msikubali kugeuzwa panya wa majaribio, hatukatai chanjo, ila wazifanyie kwanza majaribio kwa kipindi cha walau miaka 10 ili tuwe na uhakika kwamba hazina madhara kabla ya kuchoma dunia nzima!
 
Back
Top Bottom