Godbless Lema aliposema amefikisha salamu za pole kutoka kwa Tundu Lissu, jambo ambalo kwa kawaida lingeweza kubaki katika mipaka ya utu na mawasiliano ya kawaida ya kisiasa, limegeuka kuwa chanzo cha mvutano mkubwa mitandaoni. Badala ya mjadala kubaki kwenye ukweli wa salamu hizo na maana yake...
Na: Chris Bwaya Chilumba
31.08 2026
Mwaka 2017, HH akiwa mpinzani nchini Zambia, alikamatwa na kushtakiwa kwa uhaini.
Kesi hiyo ilizua mjadala mkubwa kuhusu matumizi ya sheria dhidi ya wapinzani na hatimaye mashtaka yakaondolewa.
Mwaka 2021, baada ya Hichilema kushinda urais, baadhi ya...
Kuna maumivu ambayo hayaponi kwa dawa yanabaki kuishi kwenye kumbukumbu za wale waliopitia mateso yake.
Oktoba 29 iliacha simulizi ambayo wengi hawataisahau, Ilikuwa siku ambazo vilio vilizidi tabasamu, hofu ikazidi matumaini, na ukimya ukazidi sauti za biashara zilizokuwa zimezoeleka kila...
Hali ya sintofahamu imezidi kushika kasi ndani ya chadema, huku kile kinachoelezwa kama “radhi ya Mbowe” kikitajwa kuwa chanzo kipya cha misuguano, mvutano na mpasuko unaoanza kujitokeza waziwazi miongoni mwa viongozi na wanachama.
Kwa mujibu wa taarifa zinazozunguka ndani ya vikao vya ndani...
Wakati watumishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo nchi nzima wakiwa na madeni juu ya stahiki zao, Makamu wetu JOHN HECHE analipa hadi laki 5 kwa usiku mmoja kulala katika hotel za hadhi ya nyota tano ndani ya viunga vya Jiji la Dar es Salaam na Dodoma. Ndio ulichosoma, siyo ndoto, ni ukweli...
Katika hali isiyo ya kawaida, Kwa kauli na mienendo yake ya hivi karibuni, Anna Tibaijuka ameonesha wazi kukosa haya kwa kiwango cha kutisha, anafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo hawezi kufanya.
Ni jambo la kusikitisha na la hatari kuona kiongozi wa umma mstaafu akitoa matamshi yanayochochea...
Afya bora au Afya dhaifu ni kigezo cha kutambua uhai wa Taifa lolote, Afya bora ni matokeo ya mambo mengi na moja wapo likiwa ni huduma bora katika nyanja mbalimbali. Miaka kadhaa iliyopita mgonjwa kufanyiwa CT SCAN ilikuwa nadra na kwa hospitali chache.
Kwa kutambua umuhimu wa huduma bora za...
1. Ujenzi na uboreshaji wa Miundombinu ya kutolea huduma za Afya katika maeneo mbalimbali nchini yamewezesha Vituo vya kutolea huduma za Afya kuongezeka kutoka vituo 8,549 Mwaka 2021 hadi vituo 9,610. Hii ni pamoja na Zahanati, Vituo vya Afya, Hospitali za Wilaya, Mikoa, Kanda, Maalum na Taifa...
Kwenye Sekta ya Kilimo Serikali ya Rais Samia imeongeza bajeti ya Kilimo kutoka Tsh. 751 mwaka 2022 hadi Tsh. bilioni 970.
Kuongezeka kwa uzalishaji wa chakula Tani 17,148,290 hadi kufikia Tani 20,402,014 na kufikisha asilimia 124 ya kiwango cha utoshelevu wa chakula.
Ameipatia wakala wa...
Shule inapatikana Wilaya ya Ilala inajumuisha jumla ya madarasa 16, jengo moja la utawala, matundu 24 ya vyoo.
Shule imejengwa kupitia mradi wa BOOST na umegharimu jumla ya Tsh. Milioni 475.
Zaidi ya wanafunzi 1395 wanatarajiwa kupata elimu kwenye Shule hiyo.
Faida za shule
Kupunguza...
● Kwenye Sekta ya Kilimo Serikali ya Rais Samia imeongeza bajeti ya Kilimo kutoka Tsh. 751 mwaka 2022 hadi Tsh. bilioni 970.
● Kuongezeka kwa uzalishaji wa chakula Tani 17,148,290 hadi kufikia Tani 20,402,014 na kufikisha asilimia 124 ya kiwango cha utoshelevu wa chakula.
● Ameipatia wakala wa...
Wakazi wa Ngorongoro wamefurahishwa na tukio la kuzuiwa kwa Mwanaharakati Joseph Moses Oleshangay anaeishi jijini Arusha aliyeanzisha harakati za kujitawaza kuwa Laigwanan wa jamii ya kimasai katika mitandao ya kijamii na baadaye kupanga tukio hilo kufanyika ndani ya hifadhi ya Ngorongoro.
Kwa...
Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kiongozi shupavu na mwenye ujasiri tangu alipoingia madarakani. Kama mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya urais nchini Tanzania, Rais Samia ameleta mabadiliko makubwa na kuleta matumaini mapya kwa wananchi wa Tanzania na kwingineko. Uongozi wake unaonyesha...
Na Mwl Udadis, DSM-CBD
Kwa sisi waumini wa makanisa ya Orthodox tunaamini sana katika kweli isiyochanganywa na busara za waja japo tunaheshimu sana imani za watu wengine. Natumia falsafa ya kweli hiyo ninayoiishi kukupa ujumbe ambao unaoweza kukupa picha ya yajayo katika uga wa siasa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.