Mradi wa ujenzi wa Shule ya Msingi Mshikamano iliyopo Kivule, Dar

Irene Darton

Member
Feb 25, 2024
18
21
Shule inapatikana Wilaya ya Ilala inajumuisha jumla ya madarasa 16, jengo moja la utawala, matundu 24 ya vyoo.

Shule imejengwa kupitia mradi wa BOOST na umegharimu jumla ya Tsh. Milioni 475.

Zaidi ya wanafunzi 1395 wanatarajiwa kupata elimu kwenye Shule hiyo.

Faida za shule

Kupunguza msongamano wa wanafunzi madarasani.

Kuongeza ubora wa elimu itolewayo Shuleni.

#MguuKwaMguu2025 #MiakaMitatuYaRaisSamia
 
Back
Top Bottom