Irene Darton
Member
- Feb 25, 2024
- 18
- 21
Na Nulphin Charles Heche, Mtwara
Katika hali ya kushangaza Freeman Mbowe ameonyesha nia ya kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA licha ya kuongoza kwa zaidi ya Miaka 20. Wanachama wengi wanaonekana kumchoka kutokana na tabia yake ya ubadhirifu wa mali za chama kwa madai ya kukidai chama pesa.
Freeman Mbowe aliyeoa mtoto wa Edwin Mtei Mwenyekiti wa kwanza wa Chadema alipokea kijiti cha uongozi kutoka kwa Bob Makani na kukificha kijiti kwapani kwa zaidi ya Miaka 20 sasa. Historia inaonyesha kila anayejaribu kuwania nafasi ya Uenyekiti hukumbwa na kadhia itokanayo na utemi wa Mbowe.
Hivi karibuni Chadema imeonekana kupoteza ushawishi hususani katika miji ya Dar es salaam, Mwanza, Mbeya na Arusha, jambo lililothibitishwa na uchache wa waandamanaji katika maandamano yaliyolenga kufufua chama hicho hivi karibuni. Kwa muda mrefu Freeman Mbowe amekuwa akijilimbikizia mali na kushindwa kujenga hata Ofisi ya makao makuu HQ ya Chadema.