Irene Darton
Member
- Feb 25, 2024
- 18
- 21
Kitita ni orodha ya huduma na bei zake ambazo NHIF huingia mkataba na Hospitali kuwahudumia wanachama wake.
Hakuna ongezeko la gharama za michango ya wanachama.
Hakuna kuchangia gharama za matibabu (top up) kwa huduma zinazolipiwa na NHIF
Wanachama wanaotumia dawa za pressure na sukari sasa wanaweza kupata dawa vituo vya ngazi za chini
Huduma za kibingwa na bingwa bobezi kama matibabu ya moyo, saratani, figo kupatikana pia kwenye ngazi za Kanda na sio lazima mwanachama aende mpaka hospitali za ngazi Taifa
Dawa 247 mpya zimeongezwa kwenye kitita hivyo changamoto ya mwanachama kukosa dawa vituoni imepata suluhu