Wakuu,
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, ameeleza kuwepo kwa vikundi vilivyopangwa mtandaoni vinavyoshambulia watu na kuvuruga utamaduni wa uaminifu, huku akihoji sababu za watu hao kuachwa bila kukemewa.
Dkt. Kitima alibainisha hayo hivi...
Wakuu,
Padri Kitima leo kwenye mahojiano maalum amesema japo Rais alikiri kutokea kwa changamoto na kusema matukio hayo hayakuwa ya kawaida na hayatapaswa kujirudia, bado hajatamka neno "samahani" kwa niaba ya watendaji wa serikali yake.
"Ni kweli Mheshimiwa Rais alisema yaliyotokea...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima, amesema Tanzania imekuwa ikisimamia na kutetea haki za binadamu, akisisitiza kuwa ni muhimu misingi hiyo hiyo iheshimiwe ndani ya nchi.
"Tanzania imesimamia sana haki za binadamu. Sasa kama ilifanyika kwa kukimiza...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeweka wazi kuwa lengo kuu la kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na kusema wao Maaskofu ndio waliomba kukutana na Rais Samia na wanashukuru kukutana na kuzungumza
“Tunapenda kuweka bayana sisi TEC ndio...
Askofu Agapiti Ndorobo wa Jimbo Katoliki la Mahenge Ashindwa kuvumilia wakati Jeneza la Askofu Bernadin Francis Mfumbusa likishushwa Kaburini, Asogea Karibu kumuaga na kumuona kwa Mara ya mwisho. Huzuni Yatawala.
Wakuu,
Nauliza tu
Kwanini hawa viongozi wastaafu walivyotambulisshwa shangwe limekuwa kubwa mno
Hapo Pinda, Warioba na Majaliwa walivyotambulishwa shangwe lilikuwa kubwa mno lakini alivyotajwa Nchimbi vibe halikuwa kubwa hivyo
Wakuu,
Hii ni leo wakati Padri Kitima anatambulisho uwepo wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye msiba wa Kardinali Pengo
Hapo kuna sehemu kataja kuna vyama 17
Nimesikiliza video ya dada Mmoja anajiita Lucy Michael mkazi wa Yombo Dovya Kata ya Makangarawe, anajitambulisha kuwa yeye ni Mkatoliki akimtuhumu Padri Kitima kwa kujihusisha na siasa, kilichonishangaza huyu Dada Mkatoliki anamuita Padri Kitima kuwa ni Askofu, hapa imebidi nijiulize yaani Padri...
Hii nchi tunapoelekea Sasa siyo, Kuna script imeandikwa kuwa wale waliomshambulia dada mkatoliki fake wamtaje Padri Kitima ndiyo kawatuma, na wajitambulishe kuwa wao ni waumini wa Katoliki vigango ambavyo ni fake.
Lakini Polisi Temeke wamegoma kuicheza script wamewataka husika wakate rufaa...
Wakuu hii picha inasambazwa kwa kasi sana mtandaoni leo inasemekana kuwa Padre Kitima na John Heche walikutana na kufanya mazungumzo Januari 06, 2025. Je, ni kweli?
i
Anaandika Aloyse Nyanda Mtozi kupitia ukurasa wake wa Instagram:
Je Fr Kitima anachuki na serikali au ana chuki na Rais Samia au anachuki na Uislamu?
Jibu ni HAPANA ila ukweli ni kwamba Kitima mbali na kuwa ni mlezi wa wengi pia ni Mwalimu wa Human rights alifundisha vijana chuo Kikuu na...
Akitoa homilia wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu Sherehe ya Kuzaliwa kwa Kristo Yesu katika Parokia ya Bikira Maria Mama wa Kanisa, Goba, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap amesema kama Mkristo tunatakiwa kuthubutu kumuungamia na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Ofisi ya Mkoa kwa kushirikiana na TANESCO haitabaki kimya kufuatia kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Padri Charles Kitima, kuhusu tukio la uvamizi alilodai lilihusisha kuzimwa kwa umeme na Shirika hilo...
Alichokisema Padri Kitima kuhusu Tume iliyoundwa na Rais kuchunguza athari za maanadamano ya Oktoba 29
"Bunge sasa hivi ni kamati ya chama kimoja. Kama tungekuwa na Bunge ambalo limechaguliwa na wananchi wenyewe tungesema Bunge ndo ichague hiyo kamati
"Skenario ya wasiojulikana hazijaanza hapa. Kwanza nilikuwa sijui, lakini baadaye nikajua. kupitia waliokuja kunivamia, kwanza TANESCO walizima umeme ili niuawe. Nikaona hizi mbinu ni kama mkakati umepangwa." Katibu Mkuu TEC
Padre Kitima akizungumza na waandishi wa habari amehoji kulikuwa kuna sababu gani ya kuwaambia watu wasitoke nje wakati wa maandamano halafu wanafuata majumbani na mtaani kwao na wengine kuwindwa na kwenda kuwaua?
"Tulifanya kikao hapa tuliwashauri serikali tarehe 30 mwezi wa nne usiku wake ambapo waliamua kuniua mimi, ndiyo tulipitisha yale maazimio na uzuri yamekabidhiwa serikalini mwezi wa nane tarehe 27. Pamoja na kwamba ilikuwa tuyakabidhi siku iliyofuata wakataka kuniua Mungu bariki nikapona, najua...
Akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa Kanisa Katoliki linasimamia ustawi wa jamii, heshima ya utu na haki za msingi, ushiriki wa watu katika kujitawala na kuheshimu vyombo vya chini.
Lilikuwa Bunge (2020-2025) la aina yake katika historia ya Tanzania tangu tuanze mfumo wa vyama vingi wa mwaka 1995. Katika kuwa na wabunge waliochaguliwa, mwaka 1995 tulianza na wabunge wa upinzani 23, 2000 wakawa 26, 2005 wakawa 41, 2010 wakawa 84, 2015 wakawa 112 wa upinzani, mwaka 2020...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.