Vijana wa Kitanzania na maisha ya mashaka South Africa

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,590
20,899
Maisha wanayoishi huko ni mabaya kweli kweli.

IMG_20220522_161829_561.jpg

FB_IMG_16532254367932806.jpg

FB_IMG_16532254180732814.jpg

FB_IMG_16532254493232834.jpg
 
Hatari sana mtu mmoja majina matatu na hapo ukute yote pia hakuna la kwake halisi, inasikitisha sana vijana kwenda kutafuta maisha na taarifa huku nyumbani huwa haziko wazi,

mwaka jana pia tumemzika kijana mtaani kwangu naye alikuwa akitumia majina tofauti na yake ila uzuri tu huko alipokuwa wenzake walikuwa na mawasiliano na nduguze wa huku.
 
Nilishakataa kwenda huko kumchukua mtoto wa kaka yangu R.I.P nimemwambia shemeji yangu kama ishu ni kuja bongo ampandishe ndege tu nitamfata Airport

Maana Bro walimlamba shaba hivyo sijajua maadui zake walikuwa na ugomvi gani, maana alizaa na mwanamke wa kizulu
 
Hayo maeneo yanaonekana kabisa ni kota za vibopa naona chini kumetapakaa vyupa

Hivi haiwezekani mtu akazamia huko bila kujihusisha na sehemu za dzain kama hiyo?

Nimeona watu wengi walioenda huko kwa uzamiaji wengi wao mazingira yao ni very unsafe
 
S
Nilishakataa kwenda huko kumchukua mtoto wa kaka yangu R.I.P nimemwambia shemeji yangu kama ishu ni kuja bongo ampandishe ndege tu nitamfata Airport

Maana Bro walimlamba shaba hivyo sijajua maadui zake walikuwa na ugomvi gani, maana alizaa na mwanamke wa kizulu
S. A is not a safe country vijana wanalala kwenye mapagale ipo haja kukafanyika operesheni maalum ya kuwarudisha waje kulima kilimo kinalipa
 
Kisu ni silaha hatari ingawa inadharaulika.

Ukichomwa kisu mfano klabu usiku na ukapoteza nguvu, ukashindwa simama ukalala pembeni kuna possibility watu wasijue kama huyu kachomwa kisu. Giza na ule mwanga wa klabu utafanya watu wahisi jamaa kalewa na haya maji ni pombe.

Haina kelele, unanyatiwa tu na inafika kwenye vital organs faster. By the time inajulikana aliyekuchoma kisu atakua katoweka.
 
So hata kelele kupiga inakuwa ngumu?
 
South africa crimes ipo juu Sana , we check gari la kusafirisha pesa linatekwa na watu wanachukua pesa.
 
Back
Top Bottom