ufilipino

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    Kifahamu Chakula cha Ajabu kutoka Ufilipino Kinachoitwa Pagpag

    Ulimwengu wa upishi umekuwa ni darasa kubwa ambalo watu hutumia kujifunza utamaduni na hata wengine kujipatia nafasi ya kuingiza kipato, ila wapo wanaovutika kutokana na ubunifu na pamoja na utamaduni za jamii mbalimbali, na hivyo maarifa kadhaa ya upishi yanasambaa zaidi. Walakini, mara kwa...
  2. MK254

    Jeshi la Ufilipino laua magaidi waliolipua kanisa Katoliki

    Hawa magaidi wenye mlengo wa uislamu wamekua kero kote duniani, sikujua hata Ufilipino na huko wameliamsha, wanaendelea kuuawa. Inashangaza hata kwa nchi ya Ufilipino ambayo asilimia kubwa (93%) ni Wakristo, yaani jamaa wanajitutumua tu. ========= Government troops killed nine members of a...
  3. B

    Papa aruhusu Mashemasi kuoa huko Ufilipino. Je, itafaa Afrika?

    Vatikani imeidhinisha ombi la maaskofu wa Ufilipino la kuwaruhusu kuwatawaza Wakatoliki waliohitimu, wakiwemo wanaume waliooa kuwa mashemasi wa kudumu ili kusaidia kuangalia uwiano wa mapadre na katoliki unaoongezeka nchini humo. Papa Francis alikubali ombi la Baraza la Maaskofu Katoliki...
  4. GENTAMYCINE

    Afrika Kusini kubinafsisha Bandari yake kwa nchi ya Ufilipino

    Yaani Taifa Tajiri Afrika linabinafsisha Bandari kwa Taifa lingine halafu Wengine ni Masikini kuanzia Akilini ( Ubongoni ) hadi katika Kipato ( Kiuchumi ) wanakataa Kubinafsisha Bandari yao ambayo imekaliwa na Kampuni ya Kifisadi kwa miaka zaidi ya Ishirini, haijawa na Ufanisi wowote na bado tu...
  5. chiembe

    Biashara ya kisasa ya Bandari: Afrika Kusini waikabidhi kampuni ya Ufilipino iendeshe Bandari yake ya Durban

    Haya mambo yako Dunia nzima, na ni kawaida. Haya Sasa, hata Afrika Kusini wanafanya, na nchi yao iko kimya inajua manufaa. Nchi ya wagagagigikoko Sasa.
  6. benzemah

    Afrika Kusini Kubinafsisha Bandari Kwa Ufilipino

    Afrika Kusini inakusudia kubinafsisha shughuli za bandari katika mpango wa muda mrefu ili kuboresha shughuli na kuongeza ufanisi kutokana na bandari hizo kukosolewa kwa muda mrefu kwa kutofanya kazi vizuri, miundombinu iliyochakaa na msongamano. Transnet, kampuni inayomilikiwa na serikali...
  7. T

    Kampuni ya ICTE kutoka Ufilipino imeshinda tenda kuendesha bandari ya Darbun, SA kwa miaka 25

    Kampuni ya uendeshaji wa shughuli za bandari ya International Container Terminal Services kutoka Ufilipino imeshinda kandarasi ya kuendesha bandari ya Durban nchini Afrika Kusini kwa kandarasi ya miaka 25. Swali, kwa nini sisi DP World hatuambiwi watafanya kazi kwa muda gani? =======...
  8. HERY HERNHO

    Kabila la Waluguru na asili yao kutoka Ufilipino

    Asili ya neno Morogoro ni Mluguru ili kujua zaidi twende pamoja. KAMA utairejea historia ya Morogoro ya miaka ya kati ya 1870 hadi 1888, kipindi ambacho Sultan wa Zanzibar alikuwa Sayyed Barghash, uitagundua kuwa kwenye safu ya Milima ya Uluguru na pembezoni mwake kulikuwa chini ya Machifu wa...
  9. BARD AI

    Kilo moja ya Vitunguu yafikia Tsh. 30,221 Ufilipino

    Ufilipino inatazamia kuagiza vitunguu kutoka nje kwa ajili ya kuongeza usambazaji na kupunguza bei ya juu ambayo imechangia mfumuko wa bei wa miaka 14. Bei za reja reja za vitunguu vyekundu zimepanda hadi kufikia Tsh. 29,654 kwa kilo katika siku za hivi karibuni katika masoko ya Manila, bei...
  10. BARD AI

    Ufilipino: IGP ajiuzulu baada ya Maafisa wa Polisi kukamatwa na Dawa za Kulevya

    Mkuu wa Jeshi la Polisi, Jenerali Rodolfo Azurin Jr, amesema anachukua uamuzi wa Kuwajibika kama Kiongozi ili kuwahimiza Maafisa wengine 1000 kujiuzulu ili kurejesha imani ya umma kwa Polisi. Waziri wa Mambo ya Ndani Benjamin Abalos alitoa wito kwa Majenerali wote wa Polisi na Makanali...
  11. BARD AI

    Mafuriko yaua watu 51 Ufilipino, wengine zaidi ya 19 hawajulikani waliko

    Idadi ya waliofariki katika mafuriko makubwa yaliyoharibu sehemu kubwa ya ardhi ya Ufilipino mwishoni mwa juma la Krismasi imepanda hadi 51, huku wengine 19 wakitoweka, shirika la kitaifa la kukabiliana na majanga limeeleza leo, huku wakaazi walioathirika wakihangaika kurejea kwenye makazi yao...
  12. BARD AI

    Philippines: Dhoruba ya udongo yaua watu 100, na mamia hawajulikani walipo

    Takriban watu 100 wamekufa katika moja ya dhoruba mbaya zaidi zilizoikumba Ufilipino mwaka huu huku wengine kadhaa wakihofiwa kutoweka baada ya wanakijiji kukimbilia kwenye njia iliyokumbwa na maporomoko ya udongo na kufukiwa na matope yaliyojaa mawe. Watu takriban milioni 2 wamepoteza makazi...
  13. beth

    Ufilipino: Serikali yaamuru Tovuti ya Rappler kufungwa

    Mamlaka zimeamuru Tovuti huyo ya Habari za Kiuchunguzi kufungwa kwa madai ya kukiuka Sheria za Umiliki wa Vyombo vya Habari Rappler ni miongoni mwa Vyombo vichache vya Habari vilivyokosoa mwenendo wa Serikali ya Rodrigo Duterte ambaye ataachia Madaraka siku chache zijazo baada ya Ferdinand...
  14. Analogia Malenga

    Ufilipino: Manny Pacquiao Atangaza Kugombea Urais - 2022

    Bondia wa Ufilipino Manny Pacquiao ametangaza nia ya kugombea urais wa nchi hiyo mwaka 2022 ili kupambana na umasikini wa nchi hiyo Pacquiao aliingia kwenye siasa mwaka 2010 ambaye alichaguliwa kama Seneta amesema yuko tayari kuchuana na uongozi ulioko madarakani Ametangaza kuwapelekea suluhu...
  15. beth

    #COVID19 Ufilipino: Matumizi ya dharura ya Moderna yaidhinishwa kwa wenye miaka 12 hadi 17

    Taifa hilo limeidhinisha matumizi ya dharura ya Chanjo dhidi ya COVID-19 ya Moderna kwa Watoto wa kuanzia umri wa miaka 12 hadi 17. Kwa mujibu wa takwimu za WHO, Ufilipino imerekodi maambukizi 2,020,484 Mamlaka ya Chakula ya Dawa Nchini humo imesema kutokana na Kirusi cha Corona aina ya Delta...
  16. beth

    Rais wa Ufilipino akubali kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa 2022

    Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amekubali kuwa Mgombea Mwenza wa Chama Tawala cha Nchi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa 2022, hali inayoandaa mazingira kwa Kiongozi huyo kubaki madarakani hata baada ya muda wake kumalizika. Nchini humo ukomo wa muda wa Urais ni muhula mmoja wenye miaka 6, na...
  17. Cannabis

    #COVID19 Rais Duterte wa Ufilipino asema raia wote wasiochanjwa dhidi ya COVID-19 hawataruhusiwa kutoka majumbani mwao, yupo tayari wafe

    Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte anaonya kuwa Wafilipino ambao wanakataa kupata chanjo dhidi ya coronavirus hawataruhusiwa kuondoka nyumbani kwao kama kinga dhidi ya aina ya kirusi cha delta kinachoenea zaidi. Duterte alisema kwa njia ya televisheni Jumatano usiku kwamba hakuna sheria...
  18. Suley2019

    Ajali: Ndege yaua wanajeshi 50 Ufilipino. Uchunguzi waanza

    Idadi ya waliokufa kwenye ajali ya ndege ya kijeshi ya Ufilipino aina ya C-130 imeongezeka na kufikia 50 kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatatu Julai 5, na maafisa. Idadi ya waliokufa kwenye ajali ya ndege ya kijeshi ya Ufilipino aina ya C-130 imeongezeka na kufikia 50 kwa mujibu wa...
  19. beth

    #COVID19 Rais wa Ufilipino atishia kuwafunga wananchi wanaokataa chanjo ya COVID-19

    Rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino ametishia kuwafunga jela watu watakaokataa kupata Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19 wakati Taifa hilo likipambana na mlipuko mbaya zaidi Barani Asia Kufuatia Ripoti za idadi ndogo ya wanaojitokeza katika Vituo mbalimbali vya Chanjo Jijini Manila, Rais amesema...
  20. YEHODAYA

    Watanzania wapenda kusomesha nje ya nchi pelekeni watoto Ufilipino bei rahisi elimu kubwa inatambuliwa Marekani

    Vyuo vikuu vya ufilipino Ada nafuu haizidi dola 2500 kwa mwaka na elimu yao iko juu sana. Marekani na Canada wanaikubali sana
Back
Top Bottom