Kuna tafiti na zilishakuwepo sana ila uwezi kusema mbwa ni haramu kuishi nao.
Jamii ya mbwa tokea kuwepo mwanadamu walianza kuwa marafiki au kutafuta urafiki ulianza hivi.
Mbwa walikuwa ni jamii iliyoshindwa kukabiliana na wanyama wenye nguvu kwenye kundi lao la jamii kama simba na wote wenye...
Habari,
Kuna paka wa jirani hapa wamempiga jiwe kiasi kwamba mguu wake mmoja hawezi kutembea tena na anamaumivu sana.
Naomba msaada nifahamu ni sehemu gani inawezekana kumpeleka akapata matibabu.
NB: Wenye paka wamemuacha kama alivyo na hawajachukua hatua yoyote ya kitabibu 😢
NAUMIA SANA...
Wakati 2026 ni mwaka wa mawasiliano baina ya watu wa China na Afrika, shughuli nyingi za mawasiliano zinafanyika zikiwemo za kitamaduni. Katika kutimiza azma hii iliyowekwa na viongozi wa pande mbili za China na Afrika, wakati nilipotembelea mkoani Yunnan, nami nikajiunga kwenye shughuli za...
Habarini
kwa kipindi kirefu nimejaribu kufuatilia hali ya ndani ya nchi yetu hasa suala zima la afya pamoja na kukithiri kwa rushwa ila nimejikuta nikipata hofu kubwa juu ya nini kitafuata kwa kila mwanajamii tusipolitatua tatizo hili kabla hali haijawa mbaya zaidi
Kwa kipindi cha hivi...
Licha ya kuharibiwa vibaya miji ya Telaviv na miji mengine. Idadi ya waliokufa Isreal tunaambiwa 5. Yaani hawa wana roho ya paka? Hata wapigwe mizinga miili yao inapangua?
Wasalaam aleykum,
Twende kwenye mada, Nina mdogo wangu aliparuliwa na paka wiki mbili zilizopita, baada ya hapo tukamchoma chanjo zote za za kuzuia athari ya kung'atwa na wanyama pale hospital...
Lakini hadi sasa ameendelea kutumia antibiotics mbali mbali, mguu haupungui uvimbe!
Uvimbe...
Kwani hii kada imelaaniwa?
Yan waliopo kwenye ajira wanaafadhali ya akil kidogo kuliko hawa jobless, wengi ni wapumbavu grade A.
Hawa watu kujifunza mambo mapya kwao ni kama kula nguruwe kwa ndugu zetu kobaz, hawa watu hawana walijualo lolote kuhusu mustakabali wao hasa kwenye kusaka ajira...
Tukio la mwisho nimekutana nalo Buguruni Rozana hapa majuzi; nakula chakula nashangaa mguu unaguswa kwa namna kama ya kukustua flani hivi "oya, oyaa!". Naangalia chini nashangaa namuona paka ananiangalia....nikampotezea nikaendelea kula. Haukupita muda kanigusa tena. Mh, nikaona isiwe kesi...
Mambo mazito Yanayosubiri Majibu
Baada ya kutangazwa katika vyombo vya habari kuwa Rais Samia Suluhu Hassan atazungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuliutubia Taifa, mijadala mikubwa imeibuka kwenye mitandao ya kijamii. Baadhi wanatarajia hotuba itakayofungua ukurasa mpya wa matumaini...
Katika hadithi maarufu ya “Nani Atamfunga Paka Kengele,” tunasikia simulizi la taifa la Panya lililovamiwa na Paka mwenye nguvu. Panya wanateseka, wanaishi kwa hofu, na hata sauti zao ndogo zinakuwa tishio mbele ya masikio makali ya Paka. Baada ya mateso ya muda mrefu, wanakusanyika kutafuta...
The revolution planned by Mr. PAKA, with the support of four European countries during the elections in Tanzania using Kenyan media outlets and activists to tarnish Tanzania’s image failed
Either Kenyans are being used knowingly or unknowingly. The Kenyan media is being used to spread a plan...
Pamoja na madudu ya wazi na unyanyasaji ambao umekuwa sehemu kubwa ya legacy ya CCM, wamejificha kwenye kichaka cha kuwa chama kilichoikomboa nchi na historia ya Mwalimu Hayati Julius Kambarage Nyerere kunufaisha wachache na kutumia nguvu kutisha wananchi na rushwa kununua wasanii wakubwa ili...
Vita vya paka mweusi na jogoo mweusi vinapata watazamaji chini ya milioni moja, pambano la paka mweusi na jogoo mweupe hupaa hadi watazamaji milioni tano. Hata hivyo, pambano la paka mweupe na jogoo mweupe hufikia watazamaji milioni 20, lakini ajabu kuu ni vita kati ya paka mweupe na jogoo...
Huyu ndio paka bwana, a.k.a nyau, a.k.a zee la makonzi. Utanyukwa makofi haswa mpaka unasalimu amri.
Paka ni kati ya wanyama timamu haswa kimwili, wananyumbulika kwa wepesi kama radi. Miili yao ina silaha madhubuti ambazo ni makucha makali na meno mchongoko.
Paka wakitaka kuua lazima wamtese...
Serikali fanyeni mpango wa kuhasi paka wa Bar ili kuwapunguza, wamekuwa wengi sana mpaka kero, kuna paka leo kaniparua kiwiko cha mkono anataka nimpe kitimoto kwa lazima! hii haikubaliki.
Naona since Mwezi huu uanze na issue ya Baba mpaka piko kichwani .
Kinachofata ni ramli .
Kama mpaka muda huu kitalu namba inne hakijalimwa msiniambie chochote kuhusu ramli .
Ikiwa hakuna wa kumfunga paka kengele je kipi ni kipi
Anyway mwenda kwao sio mtoro.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.