saumu

 1. N

  kuomba Dua wakati wakufungua saumu

  Kwa ilivyo Thubutu kutoka kwa Mtume (saw) Alipokuwa akifunguwa Saumu Akisema: “Kiu imeondoka, na jasho limekuwa majimaji (limeanza kutokeza), na yamepatikana malipo (ya thawabu) apendapo Mwenyezi Mungu” [Imepokewa na Abuu Daud.]. Na amesema Mtume (saw): “Hakika kwa aliyefunga saumu wakati...
 2. N

  Hali ya watu wema katika mwezi wa Ramadhani

  Kielelezo cha watu wema ni Mtume Muhammad (saw) Asema Ibnul-Qayyim Mungu amrehemu (Na alikuwa mtume (saw) Katika muongozo wake kwnye mwezi mtukufu wa Ramadhani huzidisha sampuli nyingi za Ibada, Alikuwa jibril (AS) Akimsomesha yeye Qur’ani katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Alikuwa anapo...
 3. N

  Fadhila za Mwezi wa Ramadhani

  1. Kufunga na kusimama usiku katika mwezi wa Ramadhani hali ya kuwa mtu ana imani na kutaraji malipo basi husamehewa madhambi yake yote yaliyopita. Amesema Mtume Mtume (saw): “Atakayefunga mwezi wa Ramadhani hali ya kuwa ana imani na kutaraji malipo husamehewa yote yaliyotangulia katika madhambi...
 4. N

  saumu za sunnah

  Kufunga siku Moja na kula siku Nyingine Bora katika funga za sunnah ni saumu ya Nabii Daud juu yake iwe amani – Alikuwa akifunga siku moja na kuacha siku moja; kutoka kwa Abdillahi ibn A’mru t Anasema: Amesema Mtume (saw): (Hakika saumu ya kupendeza sana mbele ya Mwenyezi Mungu ni saumu ya Daud...
 5. N

  Alama za Laylatul.Qadr

  Alama za Laylatul.Qadr 1. Ni usiku ambao hauna joto wala baridi kali. Kutoka kwa Jaabir ibn Abdillahi t Anasema: Amesema Mtume (saw): (Nilikuwa nimeoneshwa Lailatu Al-qadr, kisha nikasahaulishwa, nayo iko katika nyakati za usiku wa kumi la mwisho, nao ni usiku wenye bashasha [ Twalqat: ikiwa...
 6. N

  Anaweza Kufunga Swawm Za Sunnah Katika Mwezi Wa Shawwaal?

  SWALI: Swali langu ninauliza je mtu anpojisafisha masikio kwa kutumia kijiti bila ya kujuwa wakati amefunga ,funga yake ni batili Shehe naomba unisaidi JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad...
 7. N

  Swawm Katika Nchi Za Baridi Zenye Nyakati Fupi.

  SWALI: Kulikuwa na suali linanikakanja nomba fatwa. Hivyo katika mijin ya baridi ambayo wakati mwengine mchana hufika saa sita za usiku na kunapambazuka saa tisa alfajiri huwa wanafungaje? JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu...
Top