Siri ya Jumapili, Waweza kujua ukubwa wa maumbile ya mwanaume kwa kuangalia vidole pekee, vidole vinaeleza mengi

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Elimu ni bahari haina mwisho, Leo nawapa darasa la kibailojia linalotoa elimu kuhusu njia ya kufahamu ukubwa wa maumbile ya mwanaume

Pindi nikiwa nasoma boarding kuna rafiki alikuwa anapenda sana kujua mambo ya miili ya watu, aliwahi kutuelimisha urefu wa mtu unaaweza kupimwa akinyoosha mikono yote, watu wengi wana makovu kidole cha shahada mkono wa kushoto, kupima urefu wa mguu kwa mkono unaponunua kiatu, n.k. ni mambo yaliyokuwa yakitushangaza.

Kuna siku akatupa maarifa mapya kwamba kidole cha shahada kikiwa kifupi kuzidi cha pete uume huwa ni mdogo, kidole cha shahada kikiwa kirefu kuzidi cha pete uume huwa ni mkubwa, vikilingana uume ni wa kati ama mkubwa, ilileta gumzo na tulidhani ni masikhara.

Hio ishu ilisambaa sana pale shuleni, tukaanza kukaguana vidole tu maana size tulikuwa tunajuana tukiwa tunaoga bafuni asubuhi, tulishangazwa sana kwamba vidole vya mtu vinaweza kuwa kipimo cha maumbile, ila uzuri enzi hizo mambo ya ukubwa wa maumbile hayakuwa ishu kama siku hizi.

1. Kidole cha shahada kirefu kuzidi cha pete

markup_1000137944 (2).png

2. Kidole cha shahada kifupi kuzidi cha pete

markup_1000137944 (1).png
 
Nakumbuka tukiwa sekondari boarding kuoga bafuni watu wengi ilikuwa kawaida sana hasa asubuhi.

Kuna rafiki yetu alikuwa anapenda sana kujua mambo ya miili ya watu, aliwahi kutuambia urefu wa mtu unaaweza kupimwa akinyoosha mikono yote, watu wengi wana makovu kidole cha shahada mkono wa kushoto, n.k. ni mambo yaliyokuwa yakitushangaza.

Ila kali kuzidi zote ni kwamba kidole cha shahada kikiwa kifupi kuzidi cha pete uume huwa ni mdogo (sikuizi wanaita kibamia).kidole cha shahada kikiwa kirefu kuzidi cha pete uume huwa ni mkubwa,

Hio ishu ilisambaa sana pale shuleni, tukaanza kukaguana vidole tu maana size tulikuwa tunajuana tukiwa tunaoga bafuni, tulishangazwa sana kwamba vidole vya mtu vinaweza kuwa kipimo cha maumbile, ila uzuri enzi hizo mambo ya ukubwa wa maumbile hayakuwa ishu kama siku hizi.
Kwa Ke vidole vya miguuni baina ya kidole gumba na kinachofuata.

Kingine ni mdomo japo ni kwa asilimia chache sana.
 
Ndo maana baadhi ya Wanaume wanahangaika sana na maumbile ya wengine wala hawajifichi, kumbe ni tabia tangu shule.
 
uko sahihi , mi nikitaka kujua ukubwa wa sehemu za mwanamke namuangalia mdomoni, ukubwa wa mdomo unaelezea mengi, na mara zote nakuwa sahihi
 
Elimu nibbahari haina mwisho, Leo nawapa darasa la kibailojia linalotoa elimu kuhusu njia ya kufahamu ukubwa wa maumbile ya mwanaume

Nakumbuka tukiwa sekondari boarding kuoga bafuni watu wengi ilikuwa kawaida sana hasa asubuhi.

Kuna rafiki yetu alikuwa anapenda sana kujua mambo ya miili ya watu, aliwahi kutuambia urefu wa mtu unaaweza kupimwa akinyoosha mikono yote, watu wengi wana makovu kidole cha shahada mkono wa kushoto, n.k. ni mambo yaliyokuwa yakitushangaza.

Ila kali kuzidi zote ni kwamba kidole cha shahada kikiwa kifupi kuzidi cha pete uume huwa ni mdogo (sikuizi wanaita kibamia).kidole cha shahada kikiwa kirefu kuzidi cha pete uume huwa ni mkubwa,

Hio ishu ilisambaa sana pale shuleni, tukaanza kukaguana vidole tu maana size tulikuwa tunajuana tukiwa tunaoga bafuni, tulishangazwa sana kwamba vidole vya mtu vinaweza kuwa kipimo cha maumbile, ila uzuri enzi hizo mambo ya ukubwa wa maumbile hayakuwa ishu kama siku hizi.

1. UUME MKUBWA

View attachment 2818657

2. UUME MDOGO (KIBAMIA)

View attachment 2818659
Mawazo ya kijinga ndivyo watanzania tulivyo1 Is this news? what is strange with female parts?
 
Uzi nyingine bwana daah😂😂😂. Muandishi wa nyuzi unatulia zako bar unaangalia vidole vya wanaume wenzako unasema” daaah jamaa ana kauboo kadogo” *****😂😂😂😂, si semi ww ni shoga, kitamaduni epuka huu usenge, kuna vitu moyo wako ukikutuma uandike achana navyo hata kufikir kama mtoto wa kiume mdogo wangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom