Udhaifu wa misuli na maumivu mkono wa kushoto

Mr kitwika

New Member
Aug 22, 2022
4
0
Jamani naomba msaada na ushauri kwenu, Mkono wa kusho unaniuma unakosa nguvu na mda mwingine unapata ganzi nakosa hamu ya kula na kichechefu Nimepima UTI na MARELIA vyote wamesema sina Naomba kujua inaweza kuwa tatizo gani au nitumie dawa gani inisaidie maana nateseka sana
 
Pole sana Mkuu hiyo ni dalili ya wewe kupatwa na ugonjwa wa kiharusi aka Stroke disease ugonjwa wa kupooza upande mmoja.Nitafute haraka kw awakati wako kabla ya ugonjwa haujawa mkubwa. Na ugonjwa ukiwa ni mkubwa ni hatari unaweza kulemaa au kupooza upande mmoja wa mwili wako.
 
hiyo ni dalili ya tatizo kubwa kama stroke au cardio arrest wahi hospitali upate matibabu mapema, tena ikiwezekana wiki hii anza matibabu, binafsi nimepoteza mzazi wangu kwa tatizo kama hili baada ya kuzembea zembea!
 
Jamani naomba msaada na ushauri kwenu, Mkono wa kusho unaniuma unakosa nguvu na mda mwingine unapata ganzi nakosa hamu ya kula na kichechefu Nimepima UTI na MARELIA vyote wamesema sina Naomba kujua inaweza kuwa tatizo gani au nitumie dawa gani inisaidie maana nateseka sana
Ugonjwa wa Moyo
 
Pole sana Mkuu hiyo ni dalili ya wewe kupatwa na ugonjwa wa kiharusi aka Stroke disease ugonjwa wa kupooza upande mmoja.Nitafute haraka kw awakati wako kabla ya ugonjwa haujawa mkubwa. Na ugonjwa ukiwa ni mkubwa ni hatari unaweza kulemaa au kupooza upande mmoja wa mwili wako.
Naomba namba yako
 
Sawa mkuu nikienda hospitali niwambie wanipime nini
hiyo ni dalili ya tatizo kubwa kama stroke au cadio arrest wahi hospitali upate matibabu mapema, tena ikiwezekana wiki hii anza matibabu, binafsi nimepoteza mzazi wangu kwa tatizo kama hili baada ya kuzembea zembea!
 
Back
Top Bottom