kidole

  1. Babu sea

    Wanawake kuvaa pete kidole cha index finger inaashiria nini?

    Habari zenu wadau...HAPPY NEW YEAR.. Siku hizi kuna kamtindo ka wadada maeneo mbalimbali ya Tz mfano hata hapa Dar hupendelea kuvaa pete lakini pete hiyo ukiichunguza unakuta si ya ndoa inafanana fanana na springi ndogo .Mara nyingi wadada hawa unakuta wamevaa pete hizo kidole cha index (hiki...
  2. elivina shambuni

    Waziri Jafo amnyooshea kidole Mkurugenzi wa Momba. Ampa siku 30

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo ameonyesha kukerwa sana na utendaji wa kazi wa Mkurugenzi aa Halmashauri ya Wilaya ya Momba Mkoani Songwe kwa kushindwa kutekeleza miradi ya maendeleo ipasavyo. Hilo limejitokeza leo hii tarehe 16 Desemba wakati Waziri huyo alipotembelea...
Top