winga

Wingas GmbH is a gas distribution company located in Kassel, Germany. It is a subsidiary of Gazprom, which held its shares through W&G Beteilligungs-GmbH & Co. KG.

View More On Wikipedia.org
  1. Investaa

    JamiiForums Tanzania Winga wa Kariakoo Pitia Hapa!

    Habari mawinga wa kariakoo. Kuna wazo nimepata la, ecommerce ila kwa njia ya WhatsApp Business, ambapo mteja anatafuta bidhaa husika mfano pazia na kukutana na mawinga wa hiyo bidhaa, winga wenye completion rate kubwa ya oda ndiyo anakuwa juu kwenye search engine. Baada ya mteja kuchagua winga...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu unaweza kupoteza muda na pesa kusomea biashara chuoni; ni heri ujifunze kwa kufungua duka dogo au kuwa winga

    Watu wengi wanapoenda kusomea biashara chuoni lakini wakifika wanatamani hata kukimbia, ni majuto. Walichofikiria watakikuta na wanachokikuta ni vitu viwili tofauti. Badala ya mtu ku-focus kwenye biashara, anakutana na mzigo mkubwa wa kozi nyingi kwa wakati mmoja. mfano kila semesta (miezi...
  3. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Dec 6 Askofu atakuja kama Winga wa Kulia

    Ametokota akarojeka. Hajui kilichombele yake. Haehe! Halula! Nilisema soon huu ujinga wakomeshwa. Jazeni ulinzi Chooni. Heheee! Bafuni hehee! Litakufa jitu. Na bado. Najuzwa Yule askofu sasa ataingia kama sub super akiwa winga ya kulia. Dec 6 kuna Jambo. Semeni nisiseme. Walahi watu wabaya...
  4. Hornbil

    JamiiForums Tanzania Wakuu Mimi ni winga wa electronics, naombeni sana mniunge mkono

    Mimi ni winga wa electronics za aina zote. AC,Redio, speakers,TV, washing machine,fan , fridge, freezer. Bei zangu sio kubwa Wala sihitaji ganji kubwa wakuu. Kama unahitaji bidhaa yoyote niulize tu. Niungeni mkono wakuu🙏 Nipo kariakoo 📍 For quick response Whatsapp 0617129135
  5. Think2

    JamiiForums Tanzania Just imagine baada ya haya yote unaishia kuwa winga tu

    Daaah inasikitisha
  6. A

    JamiiForums Tanzania Winga Simon Adingra amezaliwa upya Africa Mashariki Pale Uganda...Kwa Jina la Alain Okello

    Unamkumbuka yule Winga msumbufu wa timu ya Taifa ya ivorycoast anayechezea Brighton, akasumbua sana watu kwenye Afcon 2023. Basi leo kazaliwa upya Uganda kwa jina la Alain Okello... Huyu dogo Okello ni talent mpya ndani ya Afrika Mashariki mwenye attributes purely kama za Simon koffi...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mchina haui biashara, ni nyinyi mnaowatukuza mawinga kuliko wateja, Tunazidi kuwaombea wachina wajae, Maana ya kwenda kariakoo inazidi kuchuja.

    Wengine wanasema "mawinga wanasaidia wateja wasiojua pa kwenda." Ndio upewe msaada kwa kuumizwa kiasi hiki ? Unapigwa block huwezi kununua bila wao na faida yao wanayoongeza ni kubwa sana, Huu sio msaada ni UHUNI !! Kariakoo siyo tena Kariakoo ya zamani! Huko sasa ni uwanja wa mawinga...
  8. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Thread ya machimbo ya wachina nguo vyombo viatu kariakoo Kwa wote manayoyajua machimbo weka hapa hii inaitwa fuluza winga na utapeli kariakoo

    Wakuu hii ni thread ya kujua machimbo ya wachina nguo viatu vyombo mashuka Kila kitu yaani mchina alipo na sisi tupo tumechoka kupigwa Kwa kigezo Cha kuitwa washamba hivyo washamba Sasa tumejanjaruka tunawaambia nyie mawinga Mali mtaipata shambani Ili muache kukaa kariakoo mkiibia wananchi pesa...
  9. Investaa

    JamiiForums Tanzania Winga APP business idea!

    Habari wataalam!. Kama title inavyojieleza hapo juu, nimepata wazo la app ambayo itasaidia wafanyabiashara wa mkoa na dar ata nje ya TZ kwa ujumla kununua bidhaa kwenye soko la kariakoo bila kutapeliwa na winga . Hii itasaidia wafanyabiashara wengi kupunguza gharama ya kuja Dar kununua bidhaa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ukizoea kuishi jangwani ni Ngumu kusahau Ukame #6 Imekubali kurudi nyumbani

    Niwape hii. Aliyewahi kuvaa Jersey number 6 Yanga anarudi kuivaa tena msimu ujao. ✅💯 Walid na mchumba wa Hamissa wanaondoka✅💯 Winger wa Central African Republic aliye Chamazi kama Azam hawata ongeza dau kubwa naye atakuwa ni CITIZEN✅💯 Source: TRUST ME BRO / NINA WATU 😁
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ni akili ama matope ? Unasomesha mtoto shule za ada kubwa anaishia kuwa Winga , sababu wewe mzazi huna kampuni wala biashara yoyote ya kumrithisha

    Nimekutana na Winga karikoo anatema ung'eng'e umenyooka. Baada ya kuzoeana nae. Akanipatia CV yake nimsaidie kusaka kazi. Kucheki CV ya winga huyo wa karikoo naona primary kasoma St marys, O level kasoma Shaban robert, A level kasoma Feza. Chuo pekee ndio kasoma chuo cha kayumba Udsm...
  12. Mahabey

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au kuwa winga wa bidhaa moja tu?

    Habari zenu wakuuu..! Hivi kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au ku-focus na bidhaa moja tu!? Naomba maoni yenu wakuu!
  13. Singasinga

    JamiiForums Tanzania Winga Mutale winga Balua

    Hawatoki waarabu Uzi tayari.
  14. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Namna nzuri ya kuwa Winga na Pointa wa biashara ya mitumba

    Na Mwalim M. A, Mkombozi (Kalaga baho) Kanusho : Hakuna mgogoro wowote wa kimaslahi utakaojiyokeza kwenye darasa hili endelevu. Ushauri utatolewa bure kabisa na hakuna nia ya moja kwa moja ya kuumiza hisia ya mtu. Asee niaje? Wazee mpo?? Ni vyema kwa kias chake kuendelea kumwaga nondo na...
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anataka kuwa Winga

  16. L

    JamiiForums Tanzania Winga Kramo, Winga Onana, Kumi Triple C Al Ahly lazima ayatimbe

    Ayoub anaanza, kuliko Kapombe, kushoto Tshabalala, Inonga na Che Malone, viungo ni Sadio Kanoute na Ngoma, kulia na kushoto ni Onana na Kramo, katikati pale nawaweka Chama na Saido Ntibanzokiza. Mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa naiona Semi final
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kibabage anaweza zaidi kuwa winga ama straika kuzidi ubeki, apewe nafasi, Yanga ya sasa inahitaji kuongeza nguvu kwenye umaliziaji

    Uwezo wa kufunga wa Kibabage japo kua anacheza nafasi ya ulinzi nimkubwa hata kupita uwezo wa washambuliaji wengi katika ligi yetu
  18. Scars

    JamiiForums Tanzania Yanga yamtambulisha winga wake wa kushoto Skudu kutoka Marumo Gallants

    Hatimaye Club ya Yanga imefanikisha kunasa saini ya mchezaji kinda kutoka Afrika Kusini anayeitwa Mahlatsi Makudubela (33) almaarufu kama Skudu. Mchezaji huyo kinda (33) alikuwa anakipiga kwenye timu ya Marumo Gallants ya Afrika kusini iliyofika nusu fainali kombe la shirikisho Africa. Kwa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa winga Kariakoo

    Naombeni ushauri jinsi ya kuwa winga Kariakoo, sijawahi kufanya hii mishe na sijui pa kuanzia nifanyaje ili niweze kufanya. Wiki ijayo naingia Dar kutoka Singida na ni mara yangu ya kwanza kufika Dar 🙏.
  20. U

    JamiiForums Tanzania Vinicius Junior Vs Ducapel Moloko, Nani Winga Mkali

    Picha: Vinicius Junior Picha: Ducapel Moloko Turejee kwa Hawa wachezaji wawili ambao mmoja anatokea Kwa mabingwa wa ulaya Real Madrid na mwingine anatokea Kwa bingwa wa TAnzania Young African. Hawa wachezaji wote ni mawinga hatari na Wanambio sana, wanafunga magoli, vijana wadigo na sio...
Back
Top Bottom