tumboni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Haters wa JK, Kuna package yenu hapa muongeze tindikali tumboni

    MIAKA 18 BAADAYE: JK AKUTANA TENA NA CATHERINE, BINTI ALIYEFANYIWA UPASUAJI WA MOYO AKIWA NA MIAKA MINNE Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, leo Mei 29, 2026 amekutana tena na Bi. Catherine P. Conrad Minja, aliyefanyiwa upasuaji wa moyo kwa mafanikio akiwa na umri wa miaka...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwa nini utahisi ngozi ya tumboni na Kifuani kuwasha unapoanza Kukimbia baada ya Kukaa muda mrefu bila Matizi?

    Ukikaa muda bila kufanya mazoezi halafu siku ukirudi kukimbia ukaanza kuhisi kuwasha tumboni au kifuani mara nyingi ni mwili wako una-react na kitu kinaitwa histamine. Hii ni chemical ambayo mwili huwa nayo naturally na huwa inahusika kwenye allergy au kuwashwa kwa ngozi. Unapoanza kukimbia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenzangu huwa tunaongea na watoto wakiwa bado tumboni ili kuwajenga namna tunataka wawe?

    Kuongea na mtoto aliye tumboni ni kitendo cha mzazi (hasa mama au baba) kuwasiliana na mtoto kabla hajazaliwa kwa kutumia sauti, nyimbo, kugusa tumbo na kumwambia kwa upendo kuwa wewe ni mama yake au baba yake, unampenda na unamsubiri, unataka aje kuwa mtoto wa aina gani au hata kusali naye nk...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Zandu kanchnar Guggul inatibu uvimbe kwenye kizazi na tumboni

    Dawa ni ya asili imezalisha india kwa ajili ya kutibu uvimbe kenye kizazi na kenye mfuko wa mayai. Pia dawa inasaidia kurekebisha homoni na hedhi. Dozi moja ya Zandu kanchnar guggul ina vidonge 80, unameza 2x2 asbhi na jioni kwa siku 40. Tunashauri utumie dozi mbili kupata matokeo ya uhakika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Amchoma mkewe tumboni kisha kunywa sumu baada ya kugundua anatumia dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Tingi, wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za kumchoma mke wake tumboni kwa kutumia kitu chenye ncha kali baada ya kugundua kuwa Mke wake alikuwa anatumia dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI (ARV) kwa siri...
  6. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumeza sarafu ya shilingi 50. Je, itakuwa tu tumboni?

    Hili tukio lilitokea miaka ya nyuma nikiwa chalii mdg enzi za Msoga regime first term. Jioni moja hivi nilitumwa mafuta ya taa dukani. Sasa katika kucheza na ile hela nikaiweka mdomoni huku na gari langu( nadhani nilikuwa naendesha tairi la baiskeli au mfuniko wa ndoo🤣). Mara Kaab 🥶mate...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha tatizo la gas tumboni kwa mama mjamzito? Nini suluhisho lake?

    Habari za kazi wapendwa! Bila kupoteza muda, naomba msaada wa kujulishwa visababishi vya tatizo la gas tumboni kwa mama mjamzito. (Mimba bado changa - chini ya mwezi mmoja). Je, tatizo hili linaweza kutatuliwaje? Natanguliza shukrani!
  8. Genesis_2030

    JamiiForums Tanzania 🩺❓Je, unapata maumivu ya tumbo chini ya kitovu? Uvimbe usio wa kawaida tumboni? Hedhi nzito au isiyo ya kawaida?

    Hii inaweza kuwa ishara ya moja kati ya changamoto kubwa mbili za afya ya uzazi: Ovarian Cyst (uvimbe kwenye mfuko wa mayai) au Fibroids (uvimbe kwenye mji wa mimba). 🔍 Ovarian Cyst ni Nini? Ni uvimbe uliojaa maji unaotokea kwenye moja au ovari zote (mayai ya uzazi). Mara nyingi ni wa kawaida...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Gastric na gesi tumboni inavyoniua

    Habari wakuu Nimetafuta japo uzi wenye kuelezea dawa kwa aliyekwishanza kuathirika na gastric. Naombeni msaada naishu kwa kutafuna tangawizi usiku kucha
  10. immortanity

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye uvimbe anaweza kushika mimba?

    Msaada tafadhali wakuu Hivi mwanamke mwenye uvimbe tumboni namaanisha kwenye mfuko wa uzazi uterus anaweza shika mimba na kuzaa?
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya fungusi mdomoni na koo na asidi reflux

    Kuna uhusiano gani kati ya fungusi mdomoni na koo na asidi reflux, maana baadhi ya watu wenye tatizo la asidi pia ukutwa na fangasi hata mimi nina tatizo hilo nina fungus wasioisha mdomoni maana nilipimwa endoscopy dr aliniambiwa wapo pia kwenye koo NB: nimeanza kupata hili tatizo baada ya...
  12. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Zifahamu dalili zinazoashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni

    -Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️ 1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula. 2.🖇️ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nasumbuliwa na tatizo la Asidi Tumboni

    Jamani naumwa asidi tumboni nimebadilisha mfumo mzima wa maisha dawa nimetumia lakini wapi Naumwa kifua, mabega maumivu yanasambaa mpaka kwenye maziwa yaani sina raha, ninapata stress hamu ya tendo imepungua anayejua dawa ya kienyeji msaada
  14. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania Shida ya gesi tumboni

    Wakuu habari za muda. Naomba kuelewa hili, hivi gesi inaweza kuathiri uwezo wa kutembea. Mana nina gesi inanisumbua ni muda sasa nimeenda kupima h-pylory sina. Nimepima ultrasound bali sina shida. Ila gesi inasumbua sana hadi uwezo wa kutembea nashindwa. Nipeni maelezo na dawa tiba.
  15. Marcy

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuweka msiba au kupitisha mchango wa msiba kwa mtoto aliyefia tumboni?

    Je ni sahihi kuweka msiba au kupitisha mchango wa msiba kwa mtoto aliyefia tumboni hata miezi 9 hakufikisha?
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Picha ya baadhi ya wanyama wakiwa tumboni kwa mama zao

    Kuna tembo, fisi, farasi, dolphin, mbwa
  17. T

    JamiiForums Tanzania Gesi tumboni

    Habari, nasumbuliwa sana na mingurumo kwenye tumbo na tumbo linaniuma sana, nimetumia dawa nyingi hospital lkn bado, naombeni ushauri ni dawa gani mzr itanisaidiaa ndg zangu
  18. Surveyor_1

    JamiiForums Tanzania Tiba za nyumbani: Matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula

    Habari za asubuhi wana JF, Leo nimependelea kushare nanyi baadhi ya tiba za nyumbani za matatizo ya mfumo wa umeng'enyaji chakula ambazo zinaweza kutumika kama huduma ya kwanza au tiba ya kuponya kabisa katika mazingira yetu ya nyumbani. Sitojikita kuelezea magonjwa kwa ajili ya kutorefusha...
  19. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Je, pombe aina hizi huua minyoo tumboni?

  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wana kiasi kidogo cha asidi tumboni lakini hawafahamu

    Kwa siku mwili wa binadamu unatengeneza kiasi cha asidi kati ya lita 1 hadi 1.5. Yaani ile asidi ya kujaa kopo kubwa la maji la lita 1.5! Asidi hiyo ni nyingi na kali sana. Ukali wake unafika PH ya 1.5. Manyama, matobolwa, samaki, minyofoo, pweza, vyakula vyote vigumu na laini husagwa na asidi...
Back
Top Bottom