Msaada: Napata maumivu mkono wa kushoto shingo na mgongo

Negoo

Member
Nov 24, 2020
7
3
Hanari wana JF

Nasumbuliwa na maumivu ya shingo, mkono na mgongo. Maumivu hayo yapo kila muda ila kwa kawaida huongezeka zaidi ninapopata vistress au hofu ya kitu chochote.

Nimetembelea hospitali mbalimbali kama Muhimbili, Mawen, St Cammillus, Mac Ren polyclinic

Nimepima damu, moyo, x rays, acid sijapata matokeo

Nimeonana na spychologist lkn bado sijakaa sawa

Msaada kwa anayeweza tatua shida kama hii au ambaye kashawahi kukutana nalo

Shida ilizuka ghafla tuh baada ya kupata maumivu makali chini ya moyo kwa muda mrefu

H.pyrol ipo negative.
 
Polee mkuu.., ini, figo, kongosho xiko sawa?

Naona uendelee kufanya deep check up, au maumivu yanakuja tuu bila dalili yyte?

.. Im pretty sure kuna shida mahali..
 
Yes
Ndio shida Yapo muda wote hayana dalili yyt
Kutakua na shida mahali.

Kuna ndugu yangu aliwai pata hali kama yako ila yeye maumivu yalikua yanaanzia shingoni, yanagenerate upande wa mkono wa kulia hadi mgongoni.. Alikua anawashwa na anatoka vipele mwilini.

After deep checkup alikutwa na cholecystitis.. 😔
 
Kutakua na shida mahali..
Kuna ndugu yangu aliwai pata hali kama yako ila yeye maumivu yalikua yanaanzia shingoni, yanagenerate upande wa mkono wa kulia hadi mgongoni.. Alikua anawashwa na anatoka vipele mwilini...
Ndiyo ugonjwa gani huo
 
Mhanga mwenz
Kutakua na shida mahali.

Kuna ndugu yangu aliwai pata hali kama yako ila yeye maumivu yalikua yanaanzia shingoni, yanagenerate upande wa mkono wa kulia hadi mgongoni.. Alikua anawashwa na anatoka vipele mwilini.

After deep checkup alikutwa na cholecystitis.. 😔
Mkuu samahani nakuomba ungejalibu kuelezea zaidi huyo mgonjwa alipona au na saiz anaendeleaje? Ni Mhanga pia wa hili tatizo
 
Hanari wana JF

Nasumbuliwa na maumivu ya shingo, mkono na mgongo. Maumivu hayo yapo kila muda ila kwa kawaida huongezeka zaidi ninapopata vistress au hofu ya kitu chochote.

Nimetembelea hospitali mbalimbali kama Muhimbili, Mawen, St Cammillus, Mac Ren polyclinic

Nimepima damu, moyo, x rays, acid sijapata matokeo

Nimeonana na spychologist lkn bado sijakaa sawa

Msaada kwa anayeweza tatua shida kama hii au ambaye kashawahi kukutana nalo

Shida ilizuka ghafla tuh baada ya kupata maumivu makali chini ya moyo kwa muda mrefu

H.pyrol ipo negative.
Pole ndugu yangu tunapitia magumu sana hapa dunian mimi pia nateseka sana ndugu nimepita hospitali kubwa sana ha tanzania
 
Mhanga mwenz

Mkuu samahani nakuomba ungejalibu kuelezea zaidi huyo mgonjwa alipona au na saiz anaendeleaje? Ni Mhanga pia wa hili tatizo
Alipona..maana ilionekana ana mafuta mengi kiasi yanafanya kama vimawe kwenye nyongo ndio maana alikua anatapika sana na akila kitu cha mafuta hali ilikua mbaya zaidi, aliambiwa aache kutumia vitu vyakula vya mafuta, ale miwa, mapapai na kuna dawa alitumia akapona hata surgery hakufanyiwa.. Ukipata specialist mzuri wa internal medicine mnaeza kupata msaada.
 
Mkuu hiyo dawa hamuikumbuki mtusaidie?
 
Hanari wana JF

Nasumbuliwa na maumivu ya shingo, mkono na mgongo. Maumivu hayo yapo kila muda ila kwa kawaida huongezeka zaidi ninapopata vistress au hofu ya kitu chochote.

Nimetembelea hospitali mbalimbali kama Muhimbili, Mawen, St Cammillus, Mac Ren polyclinic

Nimepima damu, moyo, x rays, acid sijapata matokeo

Nimeonana na spychologist lkn bado sijakaa sawa

Msaada kwa anayeweza tatua shida kama hii au ambaye kashawahi kukutana nalo

Shida ilizuka ghafla tuh baada ya kupata maumivu makali chini ya moyo kwa muda mrefu

H.pyrol ipo negative.
Cervical radiculopathy ni hali ya kiafya inayosababishwa na uzito, uvimbe au kuumia kwa neva za mgongo katika eneo la uti wa mgongo wa shingo (cervical spine), ambazo hufuatia hadi kwenye mikono. Dalili za cervical radiculopathy ni pamoja na maumivu ya shingo, kukakamaa na maumivu ya mkono, kufifia au kupungua kwa nguvu na hisia katika sehemu za mkono na vidole. Inapendekezwa kufanya uchunguzi wa kiafya kwa ajili ya utambuzi sahihi na matibabu inayofaa.

Kwaiyo kulingana na maelezo ayo apo juu nadhani itakuwa iyo
 
Na mara nyingi hii inasaidika kwa kutumia steroids.(Oral glucocorticoids).kwa ushauri wa dactari jinsi ya kuzitumia
 
Cervical radiculopathy ni hali ya kiafya inayosababishwa na uzito, uvimbe au kuumia kwa neva za mgongo katika eneo la uti wa mgongo wa shingo (cervical spine), ambazo hufuatia hadi kwenye mikono. Dalili za cervical radiculopathy ni pamoja na maumivu ya shingo, kukakamaa na maumivu ya mkono, kufifia au kupungua kwa nguvu na hisia katika sehemu za mkono na vidole. Inapendekezwa kufanya uchunguzi wa kiafya kwa ajili ya utambuzi sahihi na matibabu inayofaa.

Kwaiyo kulingana na maelezo ayo apo juu nadhani itakuwa iyo
Kweli kabisa, akafanye MRI ya shingo.
 
Hanari wana JF

Nasumbuliwa na maumivu ya shingo, mkono na mgongo. Maumivu hayo yapo kila muda ila kwa kawaida huongezeka zaidi ninapopata vistress au hofu ya kitu chochote.

Nimetembelea hospitali mbalimbali kama Muhimbili, Mawen, St Cammillus, Mac Ren polyclinic

Nimepima damu, moyo, x rays, acid sijapata matokeo

Nimeonana na spychologist lkn bado sijakaa sawa

Msaada kwa anayeweza tatua shida kama hii au ambaye kashawahi kukutana nalo

Shida ilizuka ghafla tuh baada ya kupata maumivu makali chini ya moyo kwa muda mrefu

H.pyrol ipo negative.
Hyo ni GERD
 
Back
Top Bottom