Napata maumivu juu bega la kushoto katika maungio

ABDULAZIZI ALLY

New Member
Feb 10, 2023
2
2
HABARI

Natumaini mpo salama kabisa hii post KWAAJILI ya watu wenye elimu zaidi ju la hili tatizo linalo nisumbua ivyo ningeomba mnipe ushauri kwa  AMANI kwa muda mrefu sasa nasumbuliwa na tatzo la maumivu katika bega langu la KUSHOTO ila alijavimba liko kawaida tu.

Maumivu yake ni makali mno na bega linagoshekaa sana linatoka sautiii kama vile mtu akigisha vidole ila alinizui kulifanyia KAZI ilaa tatizo kubwa ni haya maumivuuu nilifanikiwa kwenda AMANA HOSPITAL nikafanya vipimo vya EXRAY Cha ajabu doctor kanambia akuna tatizo haoni tatizo.

Je, kuna Daktari yoyote mwenye uzoefu na hili umri wangu ni miaka 26 Sasa jinsia ni wakiume mkaka nina ulefu WA futi 5

KWA FAIDA YANGU NA KWA WENGINE PIA WANAOSUMBULIWA NA TTZO KAMA LA KWANGU NAOMBA USHAURIII NA MAJIBU HAPA.
 
Nimewahi pata hilo tatizo na kiuno kilikuwa kimekaza kiasi kwamba hata kufunga Kama za viatu nikuwa siwezi. Nilitumia tiba tu ya kimasikini.

Nilianza kutandika blanket chini ya sakafu na kulala week ya Kwanza niliumia sana mbavu na maumvi yaliendelea kila siku nilihakikisha napiga push up 10 wakati mwingine nikiamka usiku napiga hata tano.

Baada ya week nne sijuhi maumivu yaliposhia. Ushauri wangu tu epuka kulalia magodolo manene. Na fuatilia wakati wa utotoni uluwahi kupata ajali?
 
Back
Top Bottom