Mguu wa kushoto una pata maumivu makali kwenye kisigino

Vincenzo Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
12,139
25,412
Naombeni msaada nina tatizo la mguu upande wa kushoto kwenye kisigino kuna maumivu makali sana hadi kukanyaga nashindwa hali imenianza toka juzi

plantar-fasciitis-maeneo-tofauti.jpg
 
Back
Top Bottom