Mbona waarabu wameogopa kujiunga kwenye kesi ya SA dhidi ya Israel kule ICJ

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Hawa waarabu wamekua wakilalamika sana kwa kichapo cha Israel dhidi ya HAMAS, ila waoga likija suala la matendo, wameshindwa kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel.....

Last Friday, the International Court of Justice (ICJ) concluded the first hearing of the South African case against Israel, in which Pretoria accused Tel Aviv of the intent to commit genocidal crimes against the Palestinians in Gaza.

The case has raised a debate in the Arab world about why Arab states did not join South Africa in this case and why they did not file a similar case in the ICJ or the International Criminal Court (ICC).

According to the ICJ's statute, all UN member states can file cases against any state. Any Arab state could have filed a case against Israel in the ICJ or at least asked South Africa to join its case before it was officially filed on 29 December.

South Africa recognises in its case documents its "obligation" to enforce the "Genocide Convention" as a State party to the convention to prevent genocide. In the same vein, 19 Arab states that are parties to the Genocide Convention could have similarly invoked their status and filed cases against Israel in the ICJ.
 
Mchuma janga hula na nduguze, huenda wanajua huu msemo hivyo wameshtuka maana wapalestina ni majanga. Hata Iran kizabinazabina nae anawasaidia lakini kwa tahadhari kubwa sana maana anawajua Israel ni habari nyingine.
 
Mgogoro uliopo kati ya Israel na Palestine hauwezi kuamuliwa kwa hukumu ya ICJ.

Whoever believes that should book for an appointment with the psychiatrist.
 
Mchuma janga hula na nduguze, huenda wanajua huu msemo hivyo wameshtuka maana wapalestina ni majanga. Hata Iran kizabinazabina nae anawasaidia lakini kwa tahadhari kubwa sana maana anawajua Israel ni habari nyingine.

Hivi hujaona hizi siku mbili wameuawa tena wanajeshi 24! Huwa mnajitoa ufahamu

Hebu ingia aljazeera, achana na bbc na cnn
 
Eti unajizima data kusaidia HAMAS! Unawajua vizuri mafaidi au unacheza!
Wapalestina ni ndugu zao waarabu lakini waarab haohao wanaogopa kuwasaidia mazima maana yashawakuta Misri, Jordan, na mataifa mengine manne ya kiarabu yalijitiaga kwenda front kuwapambia wapalestina aisee kipondo walichokipata hawana hamu na Israel. Tokea hapo waarabu walijua Israel ni taifa la namna gani ndo maana Iran Turkey na mataifa mengine hubakia kutoa maneno ya khanga tu lakini kuingia vitan direct na Israel si kitu wanataa kufanya maana walishuhudia waarabu wenzao walichofanywa na Israel.

Kuna vita moja tu Israel atapigwa na ni ile atakayopigwa na Mpinga Kristo uzuri hatopigwa kiasi cha kushindwa mazima then Mungu Yesu asiingilie kati, hapana Israel itakapokuwa imeshindwa kabisa ndipo Yesu atashuka kuwasaidia then ushindi wataupata ingawa ni baada ya kipondo kikubwa ambacho hakijawahi kutokea duniani
 
Hivi unaona hamasi anavowatia kiberiti wanajeshi machoko? Nakwambia huyo Israeli mwenyewe hawezi kusimama na Iran
 
Ni sawa, tu, na, Jana, wamewabutua wana jeshi 24 kwa, mpigo!
Ila, jibu,hoja, kwa, kelele zote, zinazopigwa, na, Nchi za, kiarab, kuhusu,Vita ya, Palestine, imekuja platform nzuri, ya, kupaza sauti! Kule ICJ, Arabs wote wameingia mitini, SA ya, wakristo, ndio imefungua kesi, na kuna Nchi moja ya Latin America, imejiunga, Ila Arabs wote wamekaa kimya, wanatupia maneno tu na kupigana proxy war, kwa kuwapa siraha wapigania haki Hamas,
 
Back
Top Bottom