Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,193
- 10,928
Waziri mkuu wa Afrika Kusini ametoa angalizo kuwa Israel inaendelea kupingana na hukumu iliyotolewa na mahakama ya kimataifa juu ya jinai za kivita iliyotolewa hivi karibuni.
Katika maelezo yake waziri huyo, Naledi Pandor amesema katika siku chache tu tangu hukumu hiyo itolewe Israel imeendelea kuua watu huko Gaza kwa kasi ile ile kama kwamba hakuna hukumu hiyo.
Waziri huyo akaongeza kuwa nchi yake ilipendekeza utolewe waraka wa kukamatwa kwa waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu na jambo hilo halikufanyika.
Hata hivyo Naledi akasema nchi yake itaendelea kufanya juhudi zaidi za kuiwajibisha nchi hiyo kwa jinai zake.