Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,504
- 51,099
Kwa wale ambao wana nafasi leo ndiyo siku ya hukumu ya kesi ambayo Afrika ya kusini ilifungua kuishitaki Israel katika mahakama ya kimataifa kuwa inafanya Genocide huko Gaza.
kwa wale walio katika mitandao, muda wa hukumu unakaribia , siyo vibaya kuifuatilia hukumu hii LIVE ili kujua argument za kisheria za hukumu ya hiyo kesi.
Vyombo vinavyotegemewa kuirusha hiyo kesi bila shaka Aljzazeer, SABC na vinginevyo. Sitegemei BBC kurusha hii hukumu maana ilikwepa kurusha ile ya kwanza.
Mimi nangoja hukumu irushwe katika chombo hiki
-----
kwa wale walio katika mitandao, muda wa hukumu unakaribia , siyo vibaya kuifuatilia hukumu hii LIVE ili kujua argument za kisheria za hukumu ya hiyo kesi.
Vyombo vinavyotegemewa kuirusha hiyo kesi bila shaka Aljzazeer, SABC na vinginevyo. Sitegemei BBC kurusha hii hukumu maana ilikwepa kurusha ile ya kwanza.
Mimi nangoja hukumu irushwe katika chombo hiki
-----
Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imetoa uamuzi unaoitaka Serikali ya Israel kuacha mashambulizi dhidi ya maeneo yanayokaliwa na Wapalestina pamoja na kuruhusu Misaada ya Kibinadamu kwa Waathiriwa wa Vita.
Hatua hiyo inafuatia Kesi iliyofunguliwa na Serikali ya Afrika Kusini katika Mahakama hiyo ikiituhumu Israel kuhusika na Mauaji ya Kimbari dhidi ya Watu wa Palestina.
Pia, Mahakama imeagiza Serikali ya Israel kuhakikisha inachukua hatua zote kuepuka vitendo vya mauaji, kujeruhi, vita yao kutoathiri Wanawake wanaojifungua na kutoa adhabu kwa wanaotoa maoni ya kuchochea Mauaji huko Gaza.
Aidha, Israel imetakiwa kuwasilisha ripoti katika Mahakama hiyo kuhusu utekelezaji wa maamuzi yote yaliyotolewa katika Hukumu iliyosomwa leo Januari 26, 2024.
========
Summary
The UN's top court rules that Israel must take all measures to prevent genocidal acts in Gaza, but stops short of ordering an immediate halt to operations
Judges at the International Court of Justice delivered an interim ruling in South Africa's genocide case against Israel
Riyad al-Maliki, the Palestinian foreign minister, says the judges ruled "in favour of humanity and international law"
Meanwhile, PM Benjamin Netanyahu says Israel will "continue to defend ourselves and our citizens while adhering to international law"
A verdict on South Africa's allegation of genocide is not expected for years; Israel strongly denies the accusation, calling it "baseless"
Meanwhile, US media report that the head of the CIA is due to meet Israeli, Qatari and Egyptian officials in the coming days to discuss a new potential ceasefire in Gaza
Israel's retaliatory attacks in Gaza have killed 25,900 people, mostly women and children, the Hamas-run health ministry says
The current war began after Hamas attacked southern Israel on 7 October, killing about 1,300 people, mostly civilians, and taking 240 hostages