Search results

  1. Equation x

    Kweli mapenzi yananenepesha

    Tangu nilivyoanza kumpenda huyu mlimbwende wangu, ndani ya siku saba amenawili, anatabasamu zuri, ananukia vizuri, muda wote amekuwa na furaha anionapo mimi. Leo marafiki zake wakaribu wakamuuliza, mbona mwenzetu unanawili tu na unapendeza? Akashindwa kuwajibu. Sasa mida hii ndio tunapiga...
  2. Equation x

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume wangu vizuri. Cha kushangaza, kila mmoja aniiti jina langu tena; bali wananiita baba fulani kutokana...
  3. Equation x

    Nyumba ni kaburi lililojengwa juu ya ardhi

    Unapoingia mlangoni na kuufunga mlango, ni sawa na kuingia kaburini na kujifukia. Ndio maana asili ya viumbe hai, iwe wanyama n.k hawana nyumba zaidi ya kukaa na kuishi sehemu za wazi, na mwisho wao huwa ni kuoza ardhini. Kwa sisi binadamu tukifa, ndio tunafukiwa kwenye makaburi ya chini ya...
  4. Equation x

    Wadada, mnataka dakika ngapi?

    Nimekuwa kwenye mahusiano kwa sampuli mbali mbali, iliyopelekea mpaka wengine kutengeneza familia. Changamoto niliyokutana nayo, wengi hawataki uchukue muda mrefu ukitafuta goli, wanataka dakika zisizidi 20; hii imepelekea, wao wakirizika wanakuwa hawatoi ushirikiano kwenye kunesa nesa...
  5. Equation x

    Huyu mrembo mwenye shepu kali ananichanganya sana

    Kutokana na upole wake, macho ya mahaba, chura iliyothibitishwa kimataifa, sura ya kuvutia, kiuno kilicho katika, hana majivuno, anajua umuhimu wakuwa mwanamke, anahakikisha namaliza hamu zangu zote, ananijulia hali kwa simu kila lisaa, ananifanyia usafi wa nyumba, ananifulia, wakati mwingine...
  6. Equation x

    Kama mlikuwa mnapendana, kwanini mnaogopa kuongozana pamoja?

    Wakati mapenzi yalipokuwa moto moto, ilikuwa ni kutembea kama kumbi kumbi, mwanaume hapa mwanamke hapa. Lakini sasa hivi, wengi tunapeana maelekezo; tangulia tutakutana kwa mangi n.k Tatizo ni nini; mvuto umepotea, au tuna wapenzi wengine?
  7. Equation x

    Ni muda gani hutakiwi kuzidisha bila kushiriki tendo la ndoa na mwenza wako, ili ndoa iwe hai?

    Kiunganishi katika ndoa ni kushiriki tendo la ndoa. Inapotokea tendo la ndoa halifanyiki kwa muda fulani mfululizo, hapo kunakuwa hakuna ndoa, na badala yake wote wawili mnakuwa washirika wa maisha tu 'life partner'. Sasa kuna sisi ambao tuko mbali na wenza wetu, iwe ni kikazi au katika...
  8. Equation x

    Ananinyima tendo la ndoa, kisa eti amefunga

    Kuna kamchepuko kangu, kila siku ananipiga kalenda kwa sababu yupo kwenye mfungo. Nimeongea naye hivi karibuni, anasema mpaka mfungo uishe, na ataongeza siku zingine sita za mfungo; sasa huyu ananipenda kweli au ananikomoa? Natamani nimuache, ila nashindwa kutokana na mautundu aliyonayo...
  9. Equation x

    Mlioanzisha mahusiano humu ndani kwa mbwembwe na baadaye mkaachana, mko wapi?

    Kuna watu humu walianzisha mahusiano kwa mbwe mbwe sana, mpaka sisi ambao hatukuwa na mahusiano tukajiona labdo dunia hii sio sehemu yetu sahihi ya kuishi. Ilikuwa kila sehemu wakipitia nyuzi lazima waonekane pamoja, waitane majina mazuri mazuri ili kutuumiza roho sisi; lakini mwisho wa siku...
  10. Equation x

    Akili ya kitajiri

    Ulishawahi kujiuliza, kwa nini ukienda dukani unaweza ukakuta kitu cha shilingi 50, 100, 200 n.k? Je hivyo vitu vinatoka wapi, ni kiwandani au ni mtu anajitengenezea? Mfano kuna biskuti, pipi, jojo, nyembe, pulizo n.k Ukipata jibu, utagundua vingine vinatoka viwandani, na hivyo viwanda...
  11. Equation x

    Huyu dada simuelewi

    Leo nilikua kwenye ktuo kimoja cha mabasi ya mikoani, nikiwa nikisubiri usafiri wa kunipeleka mkoa x; wakati nikisubiri gari, nilikaa kwenye kimeza kimoja karibu na mchoma mishikaki na chipsi, nikiwa napata pepsi huku tukibadilishana mawazo na baadhi ya abiria. Ghafla akatokea dada mmoja ambaye...
  12. Equation x

    Wakuu, leo nimeongeza mpiga kura mwigine

    Nilikuwa na mahusiano na pisi kali balaa (mchepuko), kutokana na uzuri wake akawa ananipiga mizinga mara kwa mara, mpaka ikafikia nikawa navaa suruali moja kauka nikuvae. Kutokana na uzuri wake, pamoja na mizinga aliyokuwa ananipiga; nikaamua kumuwekea mazingira abebe ujauzito wangu. Kweli...
  13. Equation x

    Mabingwa wa kutunga nyuzi za uongo uongo

    Wakuu habari? Natumaini wote mko wazima huku mkijiandaa kusherehekea ufufuko wa bwana. Humu ndani kuna mabingwa wa kutunga nyuzi za uongo uongo; ukisoma mstari wa kwanza mpaka wa mwisho, unakuta hakuna uhalisia wowote. Ebu tuwataje hawa mabingwa, ikiwezekana wapate pepsi kwa gharama ya mifuko...
  14. Equation x

    Kazi ya mke ni ipi nyumbani?

    Anatakiwa afanye kazi/majukumu yapi, na yapi hatakiwi kufanya akiwa nyumbani? Kwa sababu kuna watu wanajisifia huku duniani kuwa wameoa, lakini hawajui majukumu ya wake zao. Wengine wanaishia kuwa na misongo ya mawazo, kushinda bar, kuchanganikiwa na kujiongelesha wenyewe wenyewe; inayopelekea...
  15. Equation x

    Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi

    Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi. kama uamini, poteza kipato uje utoe ushuhuda hapa jukwaani. Kama huna kipato au ramani zako hazisomeki, atakuvumilia kwa muda tu, baadaye anakutelekeza. Kwa kifupi, hakuna mwanaume anayependwa bila kuwa na kipato...
  16. Equation x

    Siku niliyokutana na mtoto wa Kinyarwanda

    Wakuu, mjuavyo tena; mahusiano ndio yanayofanya dunia iwe sehemu sahihi na tulivu kwa kuishi. Mjuavyo tena, sisi tunaopataga maji ya 'gold' huwa ni vigumu kunyimana kwenye mahusiano. Kama pisi kali ikikuelewa, inakuelewa kweli. Ndio maana waswahili wanasema, kwenye kinywaji cha rangi ya 'gold'...
  17. Equation x

    Ipi sahihi; kufanya kazi kwa bidii au kufanya kazi kwa welevu?

    Wengi wanashauri, ili ufanikiwe lazima ufanye kazi kwa bidii; lakini miaka nenda rudi, kuna wasukuma mikokoteni wanafanya kazi kwa bidii, waponda kokoto wanafanya kazi kwa bidii, mkulima analima kwa bidii, mchoma mahindi anahoma kwa bidii, muuza nyanya anafanya kwa bidii n.k lakini maisha yao...
  18. Equation x

    Kujichanganya na jamii au marafiki wasiokuwa na msimamo.

    Sisi tunaoishi maisha halisi huwa hatupendi kuwa karibu na jamii ya watu wanafiki, chawa, waongo waongo, wanao-'pretend', au wanao 'fake' maisha; kwa sababu tunajua hayo si maisha yao halisi na hatuwezi pia kuwavumilia. Kwa hiyo mnavyotuona tuko mbali nao, sio kwamba hatupendi kujichanganya na...
  19. Equation x

    Biashara ya kutengeneza na kuuza, ndio itakayo timiza ndoto zako

    Biashara yoyote inahitaji uvumilivu; wengi wanaamua kufunga biashara zao na kulalamika kwa sababu wanakuwa wamekosa uvumilivu. Na hasa ukiingia kwenye hii biashara ya kutengeneza na kuuza, muda mwingi wewe unakuwa unatoa pesa tu; mpaka uje uanze kuona faida inachukua muda mrefu. Unapotaka...
  20. Equation x

    Kwa wale walio singo, unamtamani nani humu angekuwa mwenza wako?

    Binadamu tumeumbwa na hisia, ata tukijiweka bize sana katika utafutaji; mwisho wa siku tutaishia kwenye hisia tu. Inawezekana kuna sababu nyingi zinaotufanya tusiwe na wenza; ila mwisho wa siku tunabaki na maumivu yetu. Aya mlio singo, fungukeni; mngependa kuwa na mahusiano na nani humu...
Back
Top Bottom