Siku niliyokutana na mtoto wa Kinyarwanda

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
30,188
42,101
Wakuu, mjuavyo tena; mahusiano ndio yanayofanya dunia iwe sehemu sahihi na tulivu kwa kuishi.

Mjuavyo tena, sisi tunaopataga maji ya 'gold' huwa ni vigumu kunyimana kwenye mahusiano. Kama pisi kali ikikuelewa, inakuelewa kweli.

Ndio maana waswahili wanasema, kwenye kinywaji cha rangi ya 'gold' hakuna unafiki.

Jumamosi moja niliamua kutoka na kwenda kiwanja A, pale bia ya kawaida walikuwa wanauza sh. 3000, lakini sikujali kwa sababu kuna utulivu na usalama upo wa kutosha.

Nikaagiza kinywaji changu pendwa na kuanza kukandamiza taratibu. Mara nyingi huwa napenda kukaa meza ya pekee yangu, ili nisikwazane na watu.

Wakati naendelea kupiga vyombo, mara ghafla akaingia dada mmoja pisi kali hatari, kapanda hewani, mweupe, kiuno namba nane; ghafla nikahisi mapigo yangu ya moyo hayako sawa.

Nikawa namsindikiza kwa macho mpaka anapoenda kukaa; mi wakati huo nasali kimoyo kimoyo awe amekuja peke yake ili nisipate ushindani.

Nikamuona kwa mbali anapelekewa kinywaji,huku nikiwa najipanga namna ya kumpata. Ikabidi nimuite muhudumu aliyekuwa ananihudumia, na kumpa haya maelekezo, ''nenda kwa yule dada umuambie nimemfananisha na dada mmoja tulionana naye huko Ireland miaka 6 iliyopita, alikuwa anaitwa Grace, Je ndio yeye?''

Kumbuka ata huko Ireland sijawahi kufika, zaidi ya swaga tu za namna ya kumpata.

Yule muhudumu akaenda kumuuliza kama ni yeye; yule dada alimtaarifu sio yeye, yeye anaitwa Fransisca na kwao ni Rwanda. Aliponijulisha hivyo, nikajua mtego wangu umetiki; ikabidi nichukue chupa yangu moja nikamfuata, na tukaanza kubadilishana mawazo. Bahati nzuri alinipokea vizuri kwenye meza yake, tukaanza kufahamiana zaidi.

Baadaye muhudumu, akaamisha vinywaji vyangu vyote na kuniletea pale mezani. Tukawa tunabadilishana mawazo, huku tukiulizana fursa zilizopo za hapa na pale.

Tumepiga maji mpaka pakawa panakaribia kukucha, ikabidi nimuombe tukapumzike; akawa anasita sita kidogo, iweje leo leo tufahamiane alafu tukalale pamoja? Tukavutana kidogo baadaye tukakubaliana, urafiki wetu utakuwa ni wakudumu; hapo akakubali tukaondoka wote.

Tulipofika nyumba ya wageni na kuingia ndani, ikawa ni full fujo hakuna anayemuonea aibu mwenzake; kila mmoja anataka huduma kwa spidi 7G.

Katika maandalizi, mzee akawa amesimama na kuwa mkali kweli; ikabidi avalishwe tisheti yake na kuanza kuingia pangoni; mtoto wa kinyarwanda akawa anapiga pambio tu; ''una nanii nzuri kweli, sikuachi na sitaki nikuone na mwingine''.

Mi kazi yangu ikawa ni vitendo tu, yeye apige pambio mi napiga kazi tu; kufika asubuhi tukajiandaa na kupata supu nzito, na baadaye tukatawanyika.

Sasa ndugu zangu; mpaka leo hii, hii pisi imening'ang'ania na mwakani anataka anizalie equation x junior.

Ila watoto wa ukanda huo,ni wazuri sana.​
 
DeMostAdmired mambo Yako
 
Kuna mnyarwanda nampendaga tu anaoongea kiswahili Kwa Shida sema kantangulia vipimo vya carbon 14 Kuna namna nakosa ujasiri kufix ilani
 
Mkuu yule demu wa kirussia ulifanikiwa 😂😁
 
Back
Top Bottom