Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,453
- 40,436
Sisi tunaoishi maisha halisi huwa hatupendi kuwa karibu na jamii ya watu wanafiki, chawa, waongo waongo, wanao-'pretend', au wanao 'fake' maisha; kwa sababu tunajua hayo si maisha yao halisi na hatuwezi pia kuwavumilia.
Kwa hiyo mnavyotuona tuko mbali nao, sio kwamba hatupendi kujichanganya na jamii; bali sisi wengine tunaoishi maisha halisi, hatuwezi kuvumilia hizo tabia za namna hiyo.
Kwa hiyo ni bora mtuone tuko 'anti-social'; kuliko kujichanganya na jamii isiyokuwa na msimamo.