Kazi ya mke ni ipi nyumbani?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,421
40,411
Anatakiwa afanye kazi/majukumu yapi, na yapi hatakiwi kufanya akiwa nyumbani?

Kwa sababu kuna watu wanajisifia huku duniani kuwa wameoa, lakini hawajui majukumu ya wake zao.

Wengine wanaishia kuwa na misongo ya mawazo, kushinda bar, kuchanganikiwa na kujiongelesha wenyewe wenyewe; inayopelekea ukuaji wa tatizo la magonjwa ya akili.

Wakuu, nawasilisha.

:CarltonPls: :LeroyPls: :MufasaPls: :OrangeJustice:
 
K
Anatakiwa afanye kazi/majukumu yapi, na yapi hatakiwi kufanya akiwa nyumbani?

Kwa sababu kuna watu wanajisifia huku duniani kuwa wameoa,lakini hawajui majukumu ya wake zao:LeroyPls::MufasaPls::OrangeJustice:
Kazi ambayo mwnamke alipewa Dunia Kwa mume wake n moja tu KUTII, mwanaume ni Kupenda, tukifata hzo Kwa Kila mtu kutumiza kazi aliyoamuliwa, Misongo ya mawazo haitakuwepo.

Wanawake Muwatiii waume zenu(Ndani ya kutii Kuna mazngatio)

Wanaume Tuwapende wake zetu(ndani ya kupenda Kuna mazngatio)
 
Kazi yake ni kujiremba.

20240324_204821.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
K

Kazi ambayo mwnamke alipewa Dunia Kwa mume wake n moja tu KUTII, mwanaume ni Kupenda, tukifata hzo Kwa Kila mtu kutumiza kazi aliyoamuliwa, Misongo ya mawazo haitakuwepo.

Wanawake Muwatiii waume zenu(Ndani ya kutii Kuna mazngatio)

Wanaume Tuwapende wake zetu(ndani ya kupenda Kuna mazngatio)
Ebu tuwekee hayo mazingatio kwa faida ya wengi
 
Back
Top Bottom