Search results

  1. mirindimo

    Mauaji ya Robert Mushi ndugu wa aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob polisi wanahusika?

    Tarehe 13 April, Meya Mastaafu wa Manispaa ya Ubungo, Boniphace Jacob alitoa taarifa ya kupotelewa na ndugu yake Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ambaye alipotea mapema mwezi April 2024. Inadaiwa alikamatwa na watu waliojitambulisha kuwa Polisi maeneo ya Kariakoo na baada ya hapo...
  2. mirindimo

    Alphonce Lusako: Nimenusurika kutekwa kwa madai ya kuwa Gaidi, sasa namuachia Mungu suala la usalama wangu

    NIPO SALAMA ndugu zangu Baada ya TUKIO la KUWATOROKA Waliojiita POLISI, Pale Landmark Hotel, Ubungo, Dar es salaam. "Kama Magaidi Wanakamatwa kwa namna ile, Nadhani kuna shida kubwa kwa Vyombo Vyetu Vya dola. NITAELEZA kwa kina but in brief Nikiwa na Kikao Kazi Landmark Hotel,Ubungo,Walikuja...
  3. mirindimo

    Bandarini meli zinachukua muda mrefu kuliko kawaida

    Hili suala la Bandari tatizo tumeingiza sana siasa ndani yake lakini Meli inaweza fika Dar mapema ikacheleweshwa kupangiwa siku ya kushusha mzigo kiasi kwamba kufika inaweza chukua wiki 2 au 3 halafu ikasubiri tena wiki 3 hadi 4 kupangiwa kushusha mzigo. Tanzania jamani sijui ni nani katuloga...
  4. mirindimo

    Inawezekana vigogo wanachepusha maji yasiingie Mtera

    Haiwezekani TANESCO mkatuambia kwamba hizi mvua zote zinazoharibu mashamba ya miwa kufanya sukari iuzwe 5000 kilo eti haziingii kwenye bwawa la kuzalisha umeme, kweli? Hivi mnatuonaje? Marehemu Magufuli alisema mliwahi kuchepusha maji yasiingoe Bwawani si ajabu tena mmerudia huo mchezo maana...
  5. mirindimo

    Polisi wanavyoongoza genge la utekaji na kuua

    Naitwa Clement Nkwabi mkazi wa Geita. Napenda kukushirikisha suala la mdogo wangu Joel Raphael Nkwabi. Tarehe 15/12/2023 majira ya saa 2 usiku alienda kuangalia mpira lakini hakurudi. Tar.16 asubuhi mke wake alipigiwa simu na namba mpya. Kupokea ilikua sauti ya mumewe akimjulisha kuwa amelazwa...
  6. mirindimo

    DOKEZO Polisi tunaomba msaada. Tunahisi dada yetu ameuawa na mume wake ambaye ni Polisi, inasikitisha sana!

    Kutoka kwenye mtandao wa X, Akaunti ya Lisa Ildephonce (@LIldephoce) “Tarehe 23/1/2023 Tulipata msiba wa dada angu alifariki katika mazingira ya kutatanisha aliolewa na kijana anaitwa Josephat Aron ambaye ni Police pale Ufundi (Kilwa Road) cheo Kopro Kifo chake kilitupa mashaka kutokana na...
  7. mirindimo

    Vingunguti: Watu wawili wauawa kwa kupigwa na risasi

    Watu wawili Wakazi wa mtaa wa Majengo, kata ya Vingunguti, wilaya ya Ilala, Dar es Salaam wamefariki baada ya kupigwa risasi jioni ya Jumatano, Desemba 27.2023. Akizungumza na Jambo TV leo, Ijumaa Desemba 29.2023 Kaka wa mmoja wa marehemu hao aliyejitambulisha kwa jina la Omari Shomari ambaye...
  8. mirindimo

    Magufuli Terminal yabadilishwa jina

    Pia soma: https://www.jamiiforums.com/threads/stendi-ya-mabasi-ya-magufuli-mbezi-luis-imabadilishwa-jina.2167906/
  9. mirindimo

    Tazara kukabidhiwa wachina

    Kikosi kazi kutoka kwa kampuni ya serikali ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) kimefika Dar es Salaam kufanya ukaguzi kamili wa biashara na kiufundi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania-Zambia (TAZARA) kabla ya China kuichukua rasmi. CCECC inaendesha mazungumzo ya makubaliano...
  10. mirindimo

    Picha: Ni kama Wana Israel wakivuka bahari ya Shamu

    Mambo CCM inapenda kuyaona, hawa viumbe wa CCM hawataki waone unapata raha hasa wewe mlipa kodi utapigika kisawa sawa
  11. mirindimo

    Majura, Askari wa Kituo cha Mabatini-Kijitonyama anayefanya kazi akiwa amelewa

    Huyu Askari anafahamika kama Majura yupo Kota za FFU Mombasa karibia na shule ya msingi. Nae alikuepo kwenye kikosi kinachovamia bar na bunduki kutafuta mabinti wanaojiuza. Huyu Askari huwa yuko chakari (kalewa) muda mwingi wa kazi na hata boss wake wa Mabatini anajua na hajawahi kumchukulia...
  12. mirindimo

    Yajue mafao ya viongozi wa kisiasa

    Sheria - THE POLITICAL SERVICE RETIREMENT BENEFITS ACT (Cap. 225) RAIS: Rais wa Tanzania akistaafu anapata mafao yafuatayo: 1. Pensheni ya kila mwezi ambayo ni sawa na ASILIMIA THEMANINI ya mshahara wa rais aliye madarakani. 2. Kiinua mgongo sawa na ASILIMIA HAMSINI ya mshahara wake wote...
  13. mirindimo

    Pesa zinapigwa. Kampuni ya Yepi Merkezi inakiri kupokea pesa kwa kusuasua

    Sababu zinazotajwa kusuasua SGR kipande cha Dsm - Moro. 1. Pesa zinapigwa. Kampuni ya Yepi Merkezi inakiri kupokea pesa kwa kusuasua. 2. Hujuma/Rushwa - kutoka kwa wamiliki wa mabasi na malori wakiwemo viongozi wa serikali. 3. Udhaifu wa Rais kusimamia miradi ya nchi. 4... Tuendelee kuliat...
  14. mirindimo

    Uteuzi wa Makonda na mustakabali wa wahanga wake

    Uteuzi wa Makonda na mustakabali wa wahanga wake. Baada ya uteuzi wa Paul Makonda, nilitumia saa 48 nikisoma upya maelezo ya wafanyabishara takribani 200 niliofanya nao mazungumzo kabla ya kwenda jela, nikiwa jela na baada ya kutoka jela. Wengi wa wafanyabiashara hawa waliteswa...
  15. mirindimo

    TRA fanyeni kazi kwa weledi sio kwa uonevu na kisiasa

    Kuna malalamiko mengi sana TRA wako mtaani kukamata kamata magari ambayo hayajalipiwa Kodi ya Makadirio na kuna mengine yamelipiwa kodi tayari lakini mnalazimisha liingie YARD halafu mtu akienda kulitoa baada ya kua mmejiridhisha limelipiwa YARD wanadai walipwe 25,000 kwa siku au masaa hayo gari...
  16. mirindimo

    Serikalini dokezo linasainiwa kwa miaka mitatu

    Mkuu wa kitengo anapelekewa dokezo 2020 anakuja kulisaini 2023. Hii nchi CCM mnatufikisha mahala pa ajabu sana. Hawa watu kwanini mnawaacha Ofisini?
  17. mirindimo

    Mawaziri wawili wageuka kuwa Content Creator

    Mwigulu na Makamba wamegeuka kuwa Content Creator (mengine siyasemi hapa kama Mwigulu kuwa Coach na Mmiliki wa ile timu ya Singida na kumiliki kampuni ya betting, na pia Makamba kumpa dada yake deal za tender kubwa kubwa wasifikiri hatuwaoni) sasa hii ya kutembea na wapiga picha shazi na...
Back
Top Bottom