viongozi wa kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Black cap

    JamiiForums Tanzania Tuweke historia sawa- Viongozi waliowahi kujiuzulu Tanzania

    1) Mwaka 1962- Mwalimu Julius Nyerere - Mwalimu Alijiuzulu nafasi yake ya "Waziri mkuu wa Tanganyika" miezi michache tu baada ya uhuru. Alimwachia kijiti Rashid Mfaume Kawawa na kurudi vijijini kujenga na kuimarisha chama cha TANU. Kabla ya muungano 2) Mwaka 1977- Ali Hassan Mwinyi -...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Confirmed !Hatimaye wamepewa Orodha ya Viongozi wa kisiasa, Mahakama, Vyombo vya Usalama ambao wanapenda kuwekewa Vikwazo !!

    Wakuuu Kuna Mtu hapa wa chomboni Mstaafu wa juu ambaye bado Connection yake huko Usalama IPO intact kabisa, kanipenyezea Taarifa hapa kua KUMBE SERIKALI, MAHAKAMA ,NA VYOMBO VYA USALAMA TANZANIA, WAMETUMIWA ORODHA YA IDADI NA AKINA NANI AMBAO VIKWAZO VITAWAKUMBA.........Mwisho Kwa sasa...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Tunajisahau sana tunaopewa mamlaka ya Kiserikali tunadhani ni bosi wa kila mtu

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, leo Machi 11, 2026 alipokuwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa nchini katika mkutano wa Uhakiki wa Rasimu ya Mpango wa pili wa kuboresha mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II), amesema viongozi wanaopewa mamlaka ya Kiserikali huwa...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea: Kama viongozi wa dini hawasikilizwi na waumini wao, basi viongozi wa kisiasa wajiandae kisaikolojia

    Hamjambo wote! 1. Mimi ni moja ya wachache ambao tunapomsikiliza mtu yeyote hatumsikilizi kwa cheo chake, umri, Hali za utajiri, rangi. Isipokuwa Nina msikiliza mtu kile anachosema kama ni KWELI, Je ni HAKI, je Kina Ufahamu, maarifa na Akili, na mwisho kina UPENDO? 2. Jambo Hilo ndilo...
  5. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bila kuwashusha kimaisha viongozi wa Tanzania wataendelea kuwadharau wananchi na kufanya wanavyotaka

    Ni wazi viongozi wa Tanzania wanajiamini kupindukia na wanajiona wako sahihi kujilimbikizia mali kwa kuwaibia waTanzania hadi kuwauwa. Ni vyema sasa wananchi kutumia mbinu ya kuharibu mfumo wao wa maisha kwa kuvamia na kuharibu mali zao ili kuwashusha kimaisha na kuwafanya watambue kuwa maisha...
  6. Mjomba Fujo

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ifike hatua tuache kutumia majina ya viongozi wa kisiasa kwenye miradi mipya.

    Tunatia aibu kila mradi unapewa majina ya viongozi wa kisiasa. Inamaana hamna majina mengine mpaka hao viongozi majina yao yatumike kila sehemu🤔🤔🤔🤔. Hata kama ndio utamaduni basi tumezidisha kipimo kwakweli. Na ni uchawa ndio unasababisha yote haya siamini kama hao wahusika walidhamiria au...
  7. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Miongozo ya kuongea mbele ya jukwaa lenye umma, kiongozi anayekiuka hii miongozo ataishia kuchukiwa tu na kupoteza mvuto

    Sensema Wananzengo Jukwaa lisichukuliwe kama jukwaa la mbao tu - lile la kampeni, jukwaa ni neno lenye uwanda mpana, kuanzia jukwaa la mbao, jamii forum, twitter, redioni, youtube n.k hayo yote ni majukwaa ya kukutana na umma. Hii sio miongozo rasmi - kwamba sijui nimenukuu kutoka kwenye...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LHRC yakemea kamatakamata na matumizi ya nguvu yanayoendelea dhidi ya Viongozi wa kisiasa, Wanahabari na Wananchi

    KAMATAKAMATA NA MATUMIZI YA NGUVU YANAYOENDELEA DHIDI YA VIONGOZI WA KISIASA, WAANDISHI WA HABARI NA WANANCHI Dar es Salaam, 24, Aprili 2025 Leo tarehe 24 Aprili 2025 ni siku iliyopangwa kwa ajili ya usikilizwaji wa kesi ya inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baadhi ya wananchi wamewataka wananchi wenzao kuwa makini na baadhi ya viongozi wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu

    Baadhi ya wananchi mkoani Morogoro wamewaasa wananchi wenzao kuwa makini na baadhi ya viongozi wa kisiasa ambao wanatumia mgongo wa siasa kumbe ni wanaharakati. Wakizungumza na JAMBO TV wananchi hao Ismail Rashidi, Ally Mtoela na Salumu Majaliwa wamesema kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
  10. UHURUWANGU

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujiuliza hili swali; Kwanini viongozi wa kisiasa Tanzania wanavunja sheria, wanakwapua mali za umma na bado hawachukuliwi hatua?

    Katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini Tanzania, kuna changamoto kubwa ya viongozi wa kisiasa kutenda makosa bila kuwajibishwa kisheria. Hii inasababishwa na sababu kadhaa za kimfumo na kisheria, kama ifuatavyo: 1. Ulinzi wa Kikatiba na Kisheria Katiba ya Tanzania inatoa kinga kwa viongozi...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Hatutamvumilia kiongozi wa dini anayechochea chuki na uhasama dhidi ya Serikali, mkawadhibiti!

    Akizungumza kwenye Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, Rais Samia amesema nchi yetu (Tanzania) imeendelea kuwa na Umoja na Mshikamano kwasababu viongozi wa dini wamejiepusha na mahubiri yenye uchochezi na kuleta mafarakano. Aidha ameongeza kuwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mkishawishiwa na viongozi wa Kisiasa kurudi nyuma, mjue ni wadau wa simba hao

    Endelezeni msimamo wenu huohuo wa kudai point 3. Msikubali kucheza. Sasahivi Tff inatumia mamlaka za serikali ili wawashawishi mkubali yaishe. Msikubali hoja yoyote zaidi ya point 3. Neno busara lisipokelewe. Injinia Hersi nimekuita mara 3 wewe na Makamu wako msikubali ushawishi wowote ule...
  13. winnerian

    JamiiForums Tanzania Tafakari kwa Viongozi wa Kisiasa: Siku ya ukomo wenu mtaacha Taifa la namna gani kwenye mikono ya warithi wenu?

    Viongozi wakuu wa kisiasa nchini Tanzania, ukiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni vyema kutafakari kwa kina kuhusu urithi wa uongozi wenu kwa taifa hili. Siku ya ukomo wa uongozi wenu inakaribia, siku ambayo mtaweka chini mzigo wa kuiongoza nchi na kuwaachia wengine waubebe kwenye...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha umaskini wa Waafrika ni viongozi wa kisiasa na wa kidini

    Habarini, Lengo kubwa la Waafrika kupigana vita dhidi ya wakoloni ilikuwa ni kurudisha ardhi na heshima yao ambazo zilikuwa zimechukuliwa na wanasiasa na viongozi wa dini wa kikoloni siyo kurejesha DEMOCRACY. Leo hii taasisi za kidini na wanasiasa ndiyo wanamiliki ARDHI na UTU kwa kumiliki...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Uchawa, MAGHOROFA kuanguka, wingi wa wamadaktari uchwara mahospitalini na TZ kuangukia pua kwenye kesi za kimataifa ni kilele cha UBOVU wa ELIMU.

    Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu. Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa drip ya mafuta ya taa.
  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa hawawezi kwenda mbinguni

    Wanabariki utekaji. Wanabariki uuwaji. Wanabariki wizi wa kura. Wanabariki majina feki. Wanaiba hela za umma. Wanafitinisha jamii. Wanadhulumu maskini. Haya na mengine mengi wanasiasa hawataiona pepo.
  17. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tusio na ajira/kazi zenye kuingiza kipato haturuhusiwi kugombea nafasi yoyote ya kisiasa

    Wakuu nafikiri wote tumesikia kuwa wagombea kadhaa wameenguliwa kugombea nafasi mbali mbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kile kinachodaiwa kutokuwa na shughuli za kuwaingizia kipato yaani kazi. Sasa vijana wenzangu wasomi ambao hatuna ajira ila tu tumeamua kufanya siasa serikali ya...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Jukumu la Viongozi wa Kisiasa katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya Tabianchi na kuwashirikisha wananchi

    Kama tunavyofahamu mwaka huu 2024 na 2025 Nchi yetu ya Tanzania itakuwa katika Uchaguzi ambapo mwaka 2024 utafanyika uchaguzi wa serikali za mitaa november 27. Mwaka 2025 uchaguzi mkuu. Sasa kuna jambo ambalo lazima tuliseme na viongozi wafahamu na hata wale ambao wataonyesha nia ya kugombea...
  19. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Utumishi (PSRS) napendekeza muandae mitihani kwa viongozi wa kisiasa wanaoshinda majimboni

    Habari za muda huu, Naamini nafasi za uongozi zinahitaji watu wenye akili na uelewa (intelligence), siyo tu kuwa na ushawishi au pesa. Tanzania kwa sasa, tunaongozwa na watu wenye nguvu ya ushawishi wa kifedha kama wabunge na madiwani. Ili tuwe na viongozi bora wanaozingatia uwajibikaji...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Viongozi wa Serikali msiingilie majukumu na kazi za vyombo vya Dola

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Oktoba, Jaji Joseph Warioba amewataka viongozi wa serikali wa nafasi mbalimbali kuacha kuingilia majukumu na kazi za vyombo vya ulinzi na usalama badala yake waviache vyombo hivyo vitumize wajibu wake kwa mujibu wa Katiba, sheria na miongozo stahiki...
Back
Top Bottom