mirindimo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 1,138 Reaction score 2,598 Sep 25, 2023 #1 Mkuu wa kitengo anapelekewa dokezo 2020 anakuja kulisaini 2023. Hii nchi CCM mnatufikisha mahala pa ajabu sana. Hawa watu kwanini mnawaacha Ofisini?
Mkuu wa kitengo anapelekewa dokezo 2020 anakuja kulisaini 2023. Hii nchi CCM mnatufikisha mahala pa ajabu sana. Hawa watu kwanini mnawaacha Ofisini?
Msakaa Jr JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 7,451 Reaction score 7,930 Sep 25, 2023 #2 Ofisi gani hiyo mkuu Sent using Jamii Forums mobile app