magoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kuna shida gani mwanaume kupiga magoti mbele ya mke wake kwa ajili ya kumuomba msamaha wa jambo ambalo liko sensitive sana

  2. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Ni njaa ama kukosa akili, kabila Gani Tanzania linapigia mwanamke magoti? Nimesikia aibu sana 🚮

    Labda mniambie wajuvi ambao mnajua jamii nyingi za kitanzania na makabila mbalimbali tamaduni zao Na utu uzima wangu huu ni wapi, ambapo mwanaume anamsujudia mwanamke? Tunaacha kumpigia magoti Mungu alieumba Dunia hii tunampigia magoti mwanadamu? Yan na wewe umekaa kwenye kiti umejitanua kabisa...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hakuna cha ajabu Samia kupigiwa magoti na wanaume.

    Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu! Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake wakati wanawavalisha Pete za uchumba? Kama unaweza kumpigia mwanamke ambaye huendi kupata chochote cha...
  4. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Unasumbuliwa na maumivu ya magoti ,mgongo au ganzi kwa mikono na miguu

  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Mh Dc Magoti sisi watu wa Makurunge tunateseka na usafiri hujawahi kushindwa ,tenda kama tunavyokuamini mzee wa showshow !

    Tunatumia zaidi ya elf 10 kufika na kurudi kutoka mbezi mwisho tunapopandia daldala kwenda makazini kwa siku moja tu . Bajaji na bodaboda wanaamua tu waseme bei gani hakuna wa kuwagusa zaidia yako mzee wa show show maana uligusa vibaka wakatii ,ukatamka maji tukaungiwa sasa tamko lako la kupata...
  6. Waterloo

    JamiiForums Tanzania John Heche: Hatutaipigia magoti Serikali hii dhalimu ya CCM

    "Wanachadema kafanyeni kazi, huu uamuzi umesikitisha lakini ni wa muhimu na wa kihistoria ambao huko mbeleni watu wengine wataangalia na kusoma majina yao, watajiuliza itakuwaje." Mhe. @HecheJohn John Heche na Tundu Lissu ni hardliners wa siasa za upinzani hapa nchini kwa sasa. Wacha tuone huu...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, DC Petro Magoti kitamlamba?

    Naona moshi Mweusi huko pwani ya Tanzania. Nchi ipo kuaminisha Dunia uongo kwamba watu wanaishii kwa upendo na amani, halafu anatokea DC anatia kitumbua Mchanga. Na hivi haziivi na uzao wa Kizimkazi sio kama safari hii atavuka salama Pia soma Video: Waliojitambulisha kuwa ni Askari wamvamia...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Tito Magoti: Utawala wa Rais Samia unawatesa vijana kama njia ya kutisha wengine. Nasimama na Paulina Pallangyo kuhakikisha anapata haki ya uhuru wake

    Solidarity with my young sister Paulina Pallangyo @ms_walterss as she faces yes another persecution because of her legitimate belief in equality of men and women. Samia Suluhu’s regime has resorted to persecuting young people as a card for deterrence—yet she remains highly unpopular & listed as...
  9. USSR

    JamiiForums Tanzania Ujambazi umeanza tena Kisarawe je IGP na DC Magoti wanawasidiaje waathiriwa na je ni polisi wanahusika ?

    Kwako mh Rais wangu na IGP wetu na DC Magoti je ujambazi umeanza tena kwa mfumo wa ndani ya jeshi la polisi? Jana saa nne na nusu za usiku hapa makurunge kiluvya kisarawe kumetokea tukio la ujambazi kwenye bar nne tofauti watu hao ambao mmoja wao alikuwa amevalia mavazi ya polisi na redio call...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Naungana na DC Magoti: Wanaume wanaolaumu Wake zao na kulalamikia wanawake sio Wanaume waliokamilika

    Hamjambo! 1. Dc Magoti japokuwa anapenda kuongea kwa misifa, majigambo, na kidogo utani Jambo ambalo wakati mwingine anatoaga Boko. Round hii ninaungana naye kwenye hoja yake hii; 2. Mamlaka hailalamiki. Mamlaka inayolalamika hiyo sio mamlaka. 3. Kauli hiyo ameitoa huku akiwahusisha Wanaume...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Pakistan yaipigia magoti Israel kuiomba isiwaue Abbas Araqchi na Mohammed Bakari kwani ni watu muhimu kwenye mazungumuzo.

    Israel imewaondoa kwa muda Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi na Spika wa Bunge Mohammad Baqer Qalibaf kwenye orodha yake ya wanaolengwa kuuliwa baada ya kuombwa na Pakistan isiwalenge, chanzo cha Pakistani chenye ufahamu wa mazungumzo hayo kiliiambia Reuters siku ya Alhamisi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Lissu ni kama Mandela, mtamtesa lakini kamwe hatopigia mtu magoti na mwisho wa siku atashinda kesi na kuwa maarufu zaidi

    Ukweli ndio huo labda mummalize maana nyinyi hamna aibu wala utu au mumfunge kwa hila kama alivyofungwa Mandela
  13. Area 56

    JamiiForums Tanzania Samia: Ki-Petro Magoti kinafanya vizuri huko Kisarawe

    Kauli ya Samia kumuita Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Ki-Petro Magoti kuwa kinafanya vizuri huko Kisarawe ni sawa na kumdogodisha. Najaribu kuwaza, mtu kama John Heche angemuita DC wa Kisarawe Ki-Magoti (Ki-Petro) kutokana na ulemavu wake, naamini watetezi wa haki za binadamu huko sisiem leo mapovu...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

    Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC. Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu. Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki. Tunafuatilia.
  15. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Russia waililia na kuipigia magoti Marekani kuwatetea raia wake waliotekwa pamoja na meli

    Kupitia mtandao wa X/Twitter, Russia imewaomba Marekani kuacha ubabe wao wa kukamata meli, pia Russia imewaomba Marekani kuwatendea vyema raia wa Russia waliotekekwa pamoja na meli iliyokuwa ikitokea Venezuela. Hivi Russia ndio watu wa kulia lia hivi mitandaoni!? Putin ampe nchi Medvedev...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Eti wanaamini kabisa Kanisa lililopambana na kuwapinga Madikteta katili zaidi Hitler na Fujimori litapigia magoti kwao

    Kwa akili zao kabisa wanaamini wanaweza pambana na Kanisa Katoliki lililoweza kupambana na Madikteta hatari zaidi duniani kama Adolf Hitler wa Ujerumani na Fujimori wa Chile na kuwashinda. Wanaamini kabisa wanaweza kupambana na Kanisa Katoliki lililoweza kupambana na Dikteta katili zaidi wa...
  17. Alex khalifa

    JamiiForums Tanzania Wabongo nimewakosea sana. Naomba radhi kwa kupiga magoti mbele yenu

    Katika harakati za uchaguzi nilikua mwana CCM damudamu, nikimuombea kura rais wetu Samia. Nilileta Uzi, rejea Uzi wa tumuache Samia amalize muda wake, ukiisha ataondoka. Lengo lilikua kumpigania ili aendelee na awamu nyingine. Sikufahamu kesho yangu na yetu. Nilipiga kura na kuondoka zangu...
  18. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Konate naye ashangilia goli kwa "kuslide" na magoti

    Sijui namwonaje huyu beki hatari wa Liverpool Ibrahim Konate. Yuko kishambashamba tu. Sura yake haileweki sijui ana huzunika ama analia. Jana kwenye UEFA aliifungia Liverpool goli kali la kichwa kwenye mpira wa Kona na kushangilia kwa kuseleleka na magoti. Inaonekana aliipania sana kushangilia...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania DC Magoti unataka kuwafanya wenzako viwete kwa kutetea haki zao. Wewe aliyekufanya kiwete ulikuwa unatetea jambo gani muhimu?

    DC MAGOTI UNATAKA KUWAFANYA WENZAKO VIWETE KWA KUTETEA HAKI ZAO. WEWE ALIYEKUFANYA KIWETE ULIKUWA UNATETEA JAMBO GANI MUHIMU? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Magoti kiukweli umenifurahisha sana uliposema utawageuza watu wawe viwete. Naamini upo proud kuwa hivyo ulivyo. 2. Sijui historia...
  20. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Namuombea Msamaha DC Magoti kwa Watanzania wote

    Dc Petro Magoti ameteleza katoa kauli mbaya sana, kwamba atawatandika watu mpaka wapate ukilema, ile kauli sio nzuri kweli, lakini kwa namna watanzania mnavyomshambulia huko Instagram mpaka sasa namuonea huruma! Vita imejikita sasa kwenye maumbile yake yani imekuwa too personal yaani sio mambo...
Back
Top Bottom