Pesa zinapigwa. Kampuni ya Yepi Merkezi inakiri kupokea pesa kwa kusuasua

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,343
Sababu zinazotajwa kusuasua SGR kipande cha Dsm - Moro.
1. Pesa zinapigwa. Kampuni ya Yepi Merkezi inakiri kupokea pesa kwa kusuasua.
2. Hujuma/Rushwa - kutoka kwa wamiliki wa mabasi na malori wakiwemo viongozi wa serikali.
3. Udhaifu wa Rais kusimamia miradi ya nchi.
4...
Tuendelee kuliat ziko nyingi sanaa
 
vip kuhusu changamoto ya umeme haiwezi kua chanzo mkuu
 
Sababu zinazotajwa kusuasua SGR kipande cha Dsm - Moro.
1. Pesa zinapigwa. Kampuni ya Yepi Merkezi inakiri kupokea pesa kwa kusuasua.
2. Hujuma/Rushwa - kutoka kwa wamiliki wa mabasi na malori wakiwemo viongozi wa serikali.
3. Udhaifu wa Rais kusimamia miradi ya nchi.
4...
Tuendelee kuliat ziko nyingi sanaa
Yepi wanDai serikali....pesa kibao ila wanaogopa kusemz ukweli wote
 
Sababu zinazotajwa kusuasua SGR kipande cha Dsm - Moro.
1. Pesa zinapigwa. Kampuni ya Yepi Merkezi inakiri kupokea pesa kwa kusuasua.
2. Hujuma/Rushwa - kutoka kwa wamiliki wa mabasi na malori wakiwemo viongozi wa serikali.
3. Udhaifu wa Rais kusimamia miradi ya nchi.
4...
Tuendelee kuliat ziko nyingi sanaa
Mama Abdul anaupiga mwingi hadi unamwagika.
 
Sababu zinazotajwa kusuasua SGR kipande cha Dsm - Moro.
1. Pesa zinapigwa. Kampuni ya Yepi Merkezi inakiri kupokea pesa kwa kusuasua.
2. Hujuma/Rushwa - kutoka kwa wamiliki wa mabasi na malori wakiwemo viongozi wa serikali.
3. Udhaifu wa Rais kusimamia miradi ya nchi.
4...
Tuendelee kuliat ziko nyingi sanaa
Kwanza inakuaje Waziri wa fedha anafanya Biashara ya usafirishaji alafu anapewa nafasi ya kuwa mlipaji mkuu wa serikali!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Naamini hata Samia mwenyewe akjjipima anajiona hatoshi, hiyo miradi aliyoachiwa mpaka leo mwaka wa tatu unakaribia bado hata hajaikamilisha robo, sijui lini ataanza kufanya miradi yake, au ndio ataamua kuanza miradi yake huku aliyoikuta ikiwa bado haijakamilika ilimradi nae aache legacy.
 
Sababu zinazotajwa kusuasua SGR kipande cha Dsm - Moro.
1. Pesa zinapigwa. Kampuni ya Yepi Merkezi inakiri kupokea pesa kwa kusuasua.
2. Hujuma/Rushwa - kutoka kwa wamiliki wa mabasi na malori wakiwemo viongozi wa serikali.
3. Udhaifu wa Rais kusimamia miradi ya nchi.
4...
Tuendelee kuliat ziko nyingi sanaa
Serikalii walipeni Yepi acheni uzwazwaa
 
Oya ni yapi merkezi sio yepi hiyo yepi merkezi itakuwa kampuni nyingine watakana hapa kwamba wao sio wahusika.
 
Hayo mastesheni bila shaka kuna watu wamepata ajira ya kufanya usafi yasiwe makazi ya popo huku mradi hauingizi hata mia.

Ni kama kile chuo kikuu cha Kilimo huko Butiama kilikuwa kina lecturers kibao tu wanakula mshahara miaka kadhaa huku hakijawahi kudahili mwanafunzi hata mmoja toka kijengwe.
 
Sababu zinazotajwa kusuasua SGR kipande cha Dsm - Moro.
1. Pesa zinapigwa. Kampuni ya Yepi Merkezi inakiri kupokea pesa kwa kusuasua.
2. Hujuma/Rushwa - kutoka kwa wamiliki wa mabasi na malori wakiwemo viongozi wa serikali.
3. Udhaifu wa Rais kusimamia miradi ya nchi.
4...
Tuendelee kuliat ziko nyingi sanaa
Wajanja wanaziweka kwa fixed account ndo zikipita 6 month ndo wanalipa ,lakini mwingulu si amesema amna hela inayoibiwa
 
Back
Top Bottom