Yajue mafao ya viongozi wa kisiasa

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,343
Sheria - THE POLITICAL SERVICE
RETIREMENT BENEFITS ACT (Cap. 225)

RAIS:
Rais wa Tanzania akistaafu anapata mafao yafuatayo:

1. Pensheni ya kila mwezi ambayo ni sawa na ASILIMIA THEMANINI ya mshahara wa rais aliye madarakani.

2. Kiinua mgongo sawa na ASILIMIA HAMSINI ya mshahara wake wote aliopokea akiwa madarakani kama rais.

3. Akitoka nje ya nchi kwa shughuli ya Kiserikali atalipiwa ticket ya ndege FIRST CLASS, yeye, mwenza wake na msaidizi wake.

4. Diplomatic passport yake na mwenza/wenza wake.

5. Gharama za matibabu ndani na nje ya nchi.

6. Gari mbili zisizopungua uzito wa tani 3 na hubadilishwa kila baada ya miaka 5.

7. Nyumba kubwa ya kifahari isiyopungua vyumba vinne, servant quarter & ofisi (Nyumba ya kifahari).

8. Fedha ya maintenance kila mwezi ambayo ni sawa na ASILIMIA THEMANINI ya mshahara wa rais aliye madarakani.

9. Msaidizi
10. Secretary
11. Mtumishi wa ofisi
12. Mpishi
13. Mfua nguo
14. Kijana wa kazi
15. Mtunza bustani
16. Dereva wawili
17. Matumizi ya maeneo ya VIP
18. Gharama za mazishi
19. Gharama zingine pale Serikali itaona inafaa.
20. Ulinzi wake na wana familia.

NB: Sheria hii ni ya TZ Bara, upande wa Zanzibar wana sheria yao. Hii sheria inafanyiwa MABORESHO kuongeza mafao zaidi kwa rais na wana familia. Mjane wa rais anafaidika mno sijui kulikuwa na ulazima gani wa kumwongezea mafao mengine!

Sasa, haya ni mafao ya rais tu, wengine kwenye orodha ni Makamu wa rais, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge, Naibu Spika, RC, DC & Wabunge. Wote hawa wanalipwa mafao makubwa. Imagine, wabunge 393 uwalipe kila mmoja TZS 250M!

Je, unajua Spika mstaafu anapokea LITA 70 za mafuta ya gari kila wiki mpaka atakapofariki?
 
Na bado wanaiba. Ngozi nyeusi ina laana si bure!
 
Walimu askari mgambo manesi nao SI wanapewa mafao??
 
Shamba la bibi halina mwenyewe wala mlinzi, kila mwenye nafasi anavuna kwa urefu wa kamba yake
 
LUCAS MWASHAMBWA,JIDULABAMBASI na KABENDE MSAKILA,watakwambia hayo MAFAO ni kidogo sana inapaswa yaongezwe
 
Halafu Salma Kikwete anataka alipwe na yeye mafao na wabunge vilaza wameafiki. Namchukia sana Salma Kikwete kama ninavyomchukia shetani
 
Back
Top Bottom