Huduma za kuingia na kutoka Zanzibar zipo tofauti Sana na huduma za viwanja vingine vya ndege Duniani. Nadhani mentality ya wizi au Rushwa umepelekea serikali ya Zanzibar kujaza taasisi nyingi zinazosumbua wageni kinyume kabisa na nchi nyingi.
Nadhani uwanja una camera, ingetosha data...
Baadhi ya Wabunge 19 walio na mgogoro walikuwa wanakubalika Sana mtaani.
Toka wapate Ubunge wameondoka majimboni na kwenye mitandao ya kijamii, wamefifia kwenye bunge na mtaani.
Leo Bungeni spika alipotangaza waendelee na Ubunge nikasikia vifijo na nderemo kutoka ccm nikajiuliza siyo Hawa...
Watu wa huko Dar Wana uwoga wa ajabu sana Sijui akili zinadumazwa na Nini: kama wao wanaweza kupanda mwendokasi Kwa mlango wa kulia wakivutwa mkono unadhani watu wa mikoani watafanyaje?
Wasomi wengi tumefauli history kwakujibu tulitokana na nyani na Sasa tupo kwenye practical exercise ya unyani...
Mataifa mengi hupinga dhuruma Kwa kuwafichua wadhulumati, hupinga Rushwa Kwa kuwafichua Wala Rushwa na kufichua wasio waadilifu Kwa kufichua historia yao ya utendaji
Haitoshi kuheshimu hukumu ya Mahakama inatosha kuitafsiri hukumu hiyo kulingana na matendo ya Mtuhumiwa yaliyoonekana Kwa macho...
Taifa linawatafuta akina Jaji Samata wa Leo Lakini awaonekani, tunatafuta wakina Waryoba no where to be seen. Nadhani makosa yanatokana na mfumo wa kupata majaji, mfumo wa kupandisha vyeo mahakimu na mfumo wa Mahakama kujitaftia Uhuru wake pamoja na mfumo wa kupandisha vyeo mawakili wa serikali...
Kwa alichofanya mkuu wa mkoa wa Mwanza cha kumdhalilisha mwandishi wa Habari Mabere makubi pamoja na kutumia madaraka yake kumfukuza kazi mtangazani huyo ni ishara ya ukatili na uonevu unaofanywa na viongozi wanaolipwa Kodi na wananchi.
Mhe.Rais Naamini hatovumilia aina hii ya viongozi...
TLS ilizaliwa miaka zaidi ya 60 iliyopita huko nchini Tanzania zama hizo ikiwa Tanganyika. Imejaaliwa kupata watoto zaidi ya elfu kumi; watoto kadhaa wamebainika TLS ilizaa na serikali (Watumishi wa Umma), watoto kadhaa wamebainika mzazi wao mmoja taarifa zake hazipo weli known (wasio practice)...
Mkubwa Martin nathamini mchango wako wa mawazo lakini Kwa hoja hizi ulizoandika hapa Naomba kutofautiana na Wewe kutokana na ukweli kwamba ulichokiandika hapa na ukweli ulioripotiwa kqenye vyombo vya habari ni tofauti kabisa.
Kwanza, Naomba nikueleze kwamba waliokamata visa feki nakutangaza...
Jamii forum Facebook account pamoja na Habari leo ni baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti hoja ya visa bandia zilizokamatwa zikitokea afrika kusini; Kwa urahisi wa rejea wanajamvi tunaweza kupitia google kuuliza habari hizi na tutapata taarifa za ndani. Tukio hili linaonekana kuripotiwa Kwa...
Jeshi la polisi KAZI mnayofanya Sasa hivi inatia kichefuchefu hasa Kwa mtu anayetambua ugumu wa maisha uliopo. Kukamata pikipiki na Bajaji Katika Hali hii ya ukata nikudhibiti Watu wasitafute riziki.
Mmewanyima vijana ajira ya pikipiki na Bajaji matokeo yake wizi umeshamiri Kwa Kasi kubwa Sana...
Mahakamani pamekuwa kama kwenye nyumba za Ibada; watu wakifika mahakamani lazima wasujudu Sijui huu utamaduni wa kimiungu ulitokana na Nani. Mahakimu na Majaji siyo watu wa kuabudiwa ni Watumishi wa Umma. Mahakama siyo nyumba ya ibada NDIYO maana kila mtu uapa Kwa Imani yake.
Mfano kwa Wakristo...
Askari ma gereza wamemfuata FREEMAN Mbowe, anahitajika ofisini kwa Jaji katika kikao cha pamoja na mawakili wa pande zote (serikali na utetezi), Washtakiwa wengine watatu bado wamebakia kizimbani.
Hapa Kuna utata na mahakama imeshindwa kabisa kusimamia Haki, ushahidi wa Upande wa utetezi...
Ukweli ilio wazi ni kwamba watu wanaorudishwa na maombi Yao wanaambiwa wakajipange kwa sababu wakijipanga vyema wanapokelewa na kupewa huduma.
Umependekeza Suluhu ya Rushwa Uhamiaji ambayo naamini Kwa tabia ya viongozi WA Uhamiaji wengi watakataa ushauri wako ila wakiufanyia kazi Rushwa...
Kosa la Zitto anachukulia masuala ya nchi aidha kidini sana au anayachukulia kijamii Sana. Anavyoongea ni wazi anakaa na waliomweka Mbowe ndani na wanampa masharti na kwa anavyoongea ni wazi yeye anajua kwamba Mbowe siyo Gaidi na amewekwa ndani Kwa sababu za kisiasa.
Ambacho Zitto ajajiuliza ni...
Lipo tatizo kubwa la rushwa Kila sekta.
Kisingizio kikubwa Watumishi wa umma ni mishahara midogo. Nakishauri Mhe. Rais weka kifungu cha sheria kinachomwajibisha mpokea Rushwa akiwa mtumishi wa Umma na pale anapofukizwa kazi pengo lake lizibweKwkwa haraka arudi uraiani akaishi bila mshahara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.