kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Baadhi ya Wabunge 19 walio na mgogoro walikuwa wanakubalika Sana mtaani.
Toka wapate Ubunge wameondoka majimboni na kwenye mitandao ya kijamii, wamefifia kwenye bunge na mtaani.
Leo Bungeni spika alipotangaza waendelee na Ubunge nikasikia vifijo na nderemo kutoka ccm nikajiuliza siyo Hawa waliokuwa wanafukuzwa Bungeni?
Nikajiuliza huu urafiki na CCM umetoka Wapi? Nikatembelea mitandaoni kote wanatukanwa hakuna mtete wao; what happened to your funs?
Nikajikumbusha Halima alimtaja Mbowe kwamba anafahamu Kila kitu, nikajiuliza huyu Mbowe anayeweza kuwakataza Watanzania wasishirikiane na Wabunge 19 hata Kwa kupitia mitandaoni ana nguvu kiasi Gani?
Mwisho nikamkumbuka Dr. Slaa, nguvu imeisha ameongea Sasa kanyamaza hakuna anayemsikiliza anasubiri jukwaa la mama 2025 ndipo atembelee nyota
Vijana tujifunze kuvumilia njaa ukame ukiingia. People's ni shida, ni Imani, ni haki siyo mtu.