kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Mahakamani pamekuwa kama kwenye nyumba za Ibada; watu wakifika mahakamani lazima wasujudu Sijui huu utamaduni wa kimiungu ulitokana na Nani. Mahakimu na Majaji siyo watu wa kuabudiwa ni Watumishi wa Umma. Mahakama siyo nyumba ya ibada NDIYO maana kila mtu uapa Kwa Imani yake.
Mfano kwa Wakristo Biblia inakataza kuabudu Miungu Mingine; kwanini wampigie Hakimu au Jaji Magoti au ishara ya kusujudu wakiwa wanatoka au kuingia mahakamani?
Mawakili Tuambieni hiizi tamaduni za kikoloni Bado zinapslaswa kufanya sheria za nchi. Wanasiasa Tuambieni mnawasujudia Hawa watu au mnasujudia nembo ya Taifa?
Ukianza kusujudu unaanza kuvaa roho ya kuabudu; unakosa Uhuru na kuanza kuongea kwa woga kumbe tunashindwa kuelewa Jaji na Hakimu ni Watumishi kama watumishi webgine.
Wapo mahakamani kama wengine waLivyo kwenye kazi zao maeneo MENGINE. Nimefuatilia Malema alivyosimama kizimbani na kumweleza Jaji ukweli na hakuna kitu anafanywa; hapa kwetu ukitabasamu Mahakaman tu Ndani siku kumi na nne.
Ukicheka kwa kosa alilofanya Kiongozi wa mahakama utasikia aende Ndani siku kumi na nne; HAYA ni matokeo ya kuabudiwa