kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Kwa alichofanya mkuu wa mkoa wa Mwanza cha kumdhalilisha mwandishi wa Habari Mabere makubi pamoja na kutumia madaraka yake kumfukuza kazi mtangazani huyo ni ishara ya ukatili na uonevu unaofanywa na viongozi wanaolipwa Kodi na wananchi.
Mhe.Rais Naamini hatovumilia aina hii ya viongozi. Viongozi wanaosukumwa na hisia kuadhbu wananchi badala ya kusukumwa na Sheria na Kanuni ni mwiba Kwa utawala wa sheria
Kibaya Zaidi kiongozi anafikia hatua yakulazimisha mwajiri akufute kazi Kwa sababu tu umeeleza mapungufu yake
Kiongoz huyohuyo ndiye wa kwanza kutumbua wanaokosea mkoani kwake, for justice Mhandisi anapaswa atenguliwe apeleke ukatili Kwenye familia yake siyo Kwa wananchi.
Mhe. Rais huu ni unyama, ukatili, umungu MTU, udikteta. Nikuombe uvae viatu vya mwandishi huyu na familia yake, uliishi Kwenye utawala wa Watu wa aina ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, unaelewa maumivu yanayoletwa na tawala za aina yake. Msikilize Makubi , Endapo alikosea basi RC aje aseme alivunja Sheri gani