Singo mama
0db07d85bd89466da5c784c80b4497df.jpg
 
Hujaujua utamu wa single mazas wewe, wanajua kuwajibika mno maana option ya kuolewa tena ni nadra.Na wahuni wanasererekea humo kwa free pumbu service.

Mi kuna mmoja alijaa akawa ananijia resi mno nikaweka, akataka kuniganda nikamfungia vioo...Alishaanza habari za kuimagine ndoa baada ya kumgongelea nchi 6 za uhakika. Well im too young to have such kind of woman, siwezi kuoa single mama aisee, as long as jukumu langu ni kutafuta pesa tu..Sitakosa mwanamke fresh nina imani!
Hongera mkuu
Mwanzo ulivyoanza kutiririka Nikajua ndo walewale
Mwisho nimekuelewa
 
Mtazamo wako kwamba single mothers hawafai kuolewa ni potofu sana, na pia inaonesha kiasi gani huna uelewa wala uzoefu katika masuala haya ya uhusiano. Mtazamo wako uko too general, na huwatendei haki kwa kujenga hitimisho kwamba hawana lolote. Kila aliye single mother leo, hujui mazingira aliyopitia hadi amefika hapa leo. Hivyo ni utoto kumhukumu mtu au ku generalize simply because yeye ni single mother. Kwa taarifa yako single mothers are the best, wengi wao wanajitambua, wana uzoefu na maisha, wanapoingia kwenye mahusiano hawabahatishi na wanajua wanachokitaka. Hawaingii kwa majaribio maana tayari huko walishajaribiwa. Kuna wanawake wengi ambao sio single mothers lakini ni majanga kabisa na wengi wamezidiwa kwa mbali sana na hao unaowakejeli kwamba hawafai.

Hongera sana kwa wanaume wote waliooa single mothers, kwani wao ni mashujaa, wanajiamini na hawachagui kwa kuangalia kigezo cha nje tu - kuwa single mother.

Mfano wako wa soda iliyofunguliwa unaashiria upande mmoja tu wa mahusiano - ngono. Maisha ya mahusiano ya dhati ni zaidi ya ngono (kufunguliwa soda).
 
Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo?


Hakika raha ya soda uifungue mwenyewe
 
Mtoa mada unatakiwa ujisemee wewe mwnyw na nafsi yako kwamba hauwez kuoa single maza usiushawishi uma ufanye unachokipenda wewe
 
Unaendaje kuuziwa shamba lenye kesi mahakamani???????? Na yapo mashamba mengi tu hayana shida mambo mengine kujitakia na ukute single maza mwenyewe ni age under 28 anagawa kama hana akili timamu kwake kunyamduliwa ndo starehe yake utamuwezaje yan hao watu waacheni kama walivyo ukioa sawa ukipiga na kusepa sawa
 
Back
Top Bottom