kuitwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Faana

    JamiiForums Tanzania Bus kuwa na choo ndani siyo kigezo cha kuitwa Luxury

    Hii nimeikuta huko kwenye majukwaa menginem imezoeleka hapa Tanzania kuyaita mabasi luxury endapo yakiwa na: Vimulimuli kwenye roof Taa za mapambo nje na ndani Muziki mkubwa Carpet Rangi nyingi Wheel caps Dereva na wahudumu wamevaa tai GARI KUWA NA CHOO PEKEE SIO KIGEZO CHA GARI HILO KUWA...
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania IFM ingefaa ibadilishwe jina na kuitwa WICKNELL CHIVAYO INSTITUTE

    Mwekezaji mkubwa barani Dr Wicknell Chivayo hatunae tena ila legacy yake bado ipo na inaishi. Katika kuenzi mema yote aliyofanya Tanzania basi Chuo cha IFM kibadilishwe jina na kuitwa WICKNELL CHIVAYO INSTITUTE katika kumuenzi Legend! RIP dr
  3. Doji MD

    JamiiForums Tanzania Nikiitwa jina langu halisi nachukia😁

    Habari za muda huu wakuu. Kuna jambo limekuwa likinitokea hivi karibuni na ningependa kupata maoni yenu. Nimegundua kuwa kwa sasa sipendi kabisa mtu kuniita jina langu halisi. Nimezoea sana kuitwa kwa majina ya utani (nicknames) kiasi kwamba mtu akiniita jina langu halisi, najikuta nikichukia...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi wangwana, mtu wa aina na tabia kama hizi anaweza kupewa jina gani zuri katika medani ya siasa za kisasa hususani hapa Tanzania?

    Maana kwake yeye kila mtu alie na maoni au mtazamo tofauti na wakwake basi huyo hajui kitu, lakini pia kila mtu anaefanya majukumu yake vema tu, ila tofauti na apendavyo yeye huyo mtu, eti hawezi kitu, hawezi kazi, na kila mtu alie kinyume nae, hafai ila yeye tu. Mathalani, Ikiwa ni Rais, yeye...
  5. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Kuna yule Chawa wa Kuitwa Zack Abdul sijui. Aione hii.

    Uzi tayari.
  6. 3

    JamiiForums Tanzania Nandy afafanua vazi la Miss Universe baada ya kikao na BASATA

    Mwanamuziki Nandy amevunja ukimya baada ya kukutana na walezi wa sanaa BASATA kufuatia mjadala mkubwa wa vazi alilovaa kwenye fainali za Miss Universe. Nandy amefafanua kuwa hakuwa utupu kama wengi walivyodhani, bali vazi hilo lilitengenezwa kwa kitambaa kinachofanana na rangi ya ngozi yake...
  7. cocastic

    JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz ajibu kuhusu tuhuma za yeye kuitwa Chakula (Shoga) na Dudu Baya

    Msanii wa Bongo Flava maarufu km Ommy Dimpoz amejibu kuhusu sakata la yeye kutuhumiwa ni shoga, na msanii mwenzake wa music wa zamani Dudu baya, wakati wakiwa kwenye tamasha la miaka 30 ya Bongo flava huko Arusha. Ommy Dimpoz amejibu kupitia IG yake, na ujumbe huo unasomeka km hivyo hapo...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche: Tukisema msiue watu kwenye uchaguzi tunaonekana wanaharakati, hatuoni shida kuitwa wanaharakati

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, amesema chama hicho kimeamua kuendelea kudai mabadiliko ya kweli badala ya kufanya siasa kwa ajili ya kuonekana pekee. Heche amesema wanapozungumzia masuala yanayowagusa wananchi na kudai mabadiliko, baadhi ya watu wamekuwa wakiwaita...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ‘Sitaki Kuitwa Sponsor’: Uhuru Akanusha Madai ya Kufadhili Upinzani Kuelekea 2027

    Aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta amekanusha madai kwamba anafadhili viongozi wa upinzani wanaojiandaa kumpinga Rais William Ruto katika Uchaguzi Mkuu wa 2027, akisisitiza kuwa uamuzi wa nani ataongoza Kenya uko mikononi mwa wananchi. Akizungumza Kitale wakati wa kumbukumbu ya aliyekuwa Makamu wa...
  10. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Je kila mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri anafaa kuitwa mshangazi? Au wote mnaweza kuwa wazee tu...

    Yaani unakuta mtu anamiaka 42 alafu anamahusiano na mwanamke ana miaka 48 alafu anasema anamiliki mshangazi ....!!!!! Huyo si mzee mwenzie tu... Mshangazi aitwe na vijana wa miaka 18 mpaka 35... Ila kwa sisi wa miaka 40 mahusiano na wanawake waliotuzidi umri ni WAZEE WENZETU..
  11. H

    JamiiForums Tanzania Bora LISSU anyongwe kuliko samia Kuitwa Mahakamani

    Hilo ndio tafsiri ya Mawakili wa serikali. Na kwasababu pia ni serikali ndio imeajili Majaji na kuwalipa mshahara hawataweza kumwita. Tunajiuliza mkapa alipanda Mahakamani kutoa ushaidi wake waziwazi kwenye kesi ya balozi wake. Ata hakusita. Unajua kwanini? Raisi anasubiri hukumu atie saini...
  12. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali wapinga Rais Samia na wenzake kuitwa mahakamani

    Mawakili wa Serikali wapinga Rais Samia na wenzake kuitwa mahakamani Wakili wa Serikali Mkuu, Nasoro Katuga, amesimama: Upande wa Jamhuri unajua ni haki ya mshitakiwa kujitetea na yeye kueleza kuwa atajitetea mwenyewe. Lakini kuna suala la mashahidi ambao mshitakiwa anataka wapewe summons...
  13. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rais aliyeko madarakani ana kinga ya kutoshitakiwa/kuitwa mahakamani kutoa ushahidi isipokuwa kwa hiari yake. Lengo ni kulinda hadhi ya u-Rais

    Chini ya sheria na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais aliyeko madarakani hawezi kulazimishwa au kuitwa mahakamani kutoa ushahidi au kushtakiwa kwa sababu anapewa kinga kamili ya kikatiba kulinda hadhi na utendaji wa kiti cha urais. Kinga ya KikatibaKifungu cha Sheria: Ibara ya...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Walimu wa arts na lugha waanza kuitwa kazini #kiswahili, English,htm

  15. Giovanni Mugillanetza

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Unganisha Dot na kuitwa kwa Rostam Aziz huko Uganda

    Afisa wa zamani wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) Michael Katungi Mpeirwe amekamatwa nchini Uganda na anatarajiwa kupelekwa Marekani kwa madai kwamba alishiriki katika njama ya ulanguzi wa silaha wa kimataifa wa mamilioni ya dola unaohusishwa na Cartel de Jalisco Nueva Generación...
  16. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waweke mwongozo wa viongozi/ wanachama namna ya kujihami na kuitwa polisi na kupotea as if hawajaitwa na polisi

    Kaeni na wataalamu wa mambo ya usalama hata kama kuwatafuta nje ya nchi, wawape namna mtu akiitwa na polisi afanye nini kabla ya kwenda polisi. Nimesoma Mwenyekiti wa Vijana Kanda serengeti ameitwana polisi / walifika Nyumbani kwake na sasa hajulikani alipo Wekeni protocol mtu afanyeje...
  17. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Wabunge waliopo Dodoma wanastahili kuitwa waheshimiwa Bado?

    Wachangiaji wote waliochangia bajeti ya mambo ya nje Kila mtu alimsifia Samia Nape Samia Bulaya Samia Kingu Samia Samia Samia Samia Wao wanafanya kazi Gani Sasa kama Kila kitu anafanya Samia? Kwani huwezi ongea bila kutaja jina la raisi? Kwann waitwe waheshimiwa Hawa ?
  18. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza hivi zile nafasi za JWTZ watu washaanza kuitwa ??

    Wakuu naomba kujua kama tayari watu washaitwa zile kazi za zilizotangazwa april 14, 2026 ? Maana naona tik tok vijana wanapongezana kana kwamba washaanza kuitwa au sisi wengine tuendelee kusubiri tukihitajika tutapigiwa simu kama tulivyoambiwa?
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaovaa haya magauni kichwani hamnazo, niko tayari kuitwa mshamba

    Haya magauni ndio fashion ya siku hizi. Ni kama yamekaa kihuni/kimalaya zaidi. Unakuta mgongo wote uko wazi. Mwanamke ukivaa hivi jua wanaume tunakuona malaya tu. Niiteni mshamba ila hilo ni vazi la malaya
  20. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya abiria mijini kuitwa Daladala kunatudhalilisha Sisi wamiliki

    Jina la Daladala kwa mabasi ya safari za mjini (Town trip) limeanza wakati nauli ikiwa sh.5 tu. Leo tunaongelea nauli ya tshs.1000 kwa route ndefu hivyo tunaomba Mh Rais atusaidie na Sisi magari yetu yaitwe Buku Buku badala ya Daladala kama alivyofanya Kwa waheshimiwa Mamalishe.
Back
Top Bottom