Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo?

Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume kuwa mti wa kivuli cha shida zake za hisia, kiuchumi, kijamii, n.k. Wahenga wanasema "moyo wa mapenzi ni kama glasi, ukipasuka ufa wake hauzibiki". Maana yake kupenda hakujirudii mara mbili, hasa hasa mwanamke akisha zalishwa...ni kana kwamba moyo wa kupenda unatoka pamoja na mtoto kule leba.

Wewe mwanaume uliyekamilika na unajiamini unaanzaje kumuoa single mama?? Ona kinyaa ndugu yangu. Single mama alishapenda tayari na ndiyo maana akaamua kumpa yule mzazi mwenzie mpk akapata ujauzito. Si ajabu alimkuta bikra jamaa akaitoa, kisha akarudia na kurudia na kaurudia hadi mimba. Leo wewe mkolomije unaenda kuoa. Acha uzembe kwenye mapenzi.

Tafiti zinaonyesha kwamba mwanaume wanao oa masingle mama wako katika mojawapo ya makundi yafuatayo;-
--hawajiamini
--wanafuata maslahi
--ni washamba washamba Fulani HV
--waliruka stage ktk makuzi yao

WITO: raha ya soda ukute haijaonjwa

********** Mwenye mtazamo sawa na mwanzisha mada*********





Ushauri kwa waliooa Single Mothers



********** Mama yake amemkata asioe single Mother**********



********** Madhara ya mtoto wa kiume kulelewa na Single Mother**********



********** Kauli zilizowauzi waliokuwa kwenye mahusiano na Single Mothers**********

Duh Hatari Sana
 
Dah kama mi nmetokea kupendana na single maza m1,ni chuma hatar, bado hatujaanza mahusiano rasmi,nipo kwenye probation,.kwa uzur wa huyu dada sjui itakuaje,..na amenielewa kwelkwel,namii nimemuelewa,nshamtoa diner moja,mediteraneo pale,yaan mdada mzur had ananipa mawazo,nawaza kanielewaje hiv mtoto kama huyu,.sijapata jib,af inaonekana huko alikokua kulikua njema saana,yan ile saana,ila kuna kitu alikiongea,maana tulivotoka pale nkampeleka sehem nkamnunulia mwanae pizza ampelekee home,sasa kuna kitu akadokeza,ndo kinanipa mawazo kweli,niingie mazima au la..
Ingia tu mkuu
Ila usisahau mwanamke huwa haridhiki. Kuwa alikotoka kulikuwa njema hakumfanyi aache kuichangamkia fursa inayojileta mbele yake.
 
Ila mi huwa najiuliza hivi ukiwa na single mother jamaa akipiga Simu kumjulia hali mtoto wake huku nyie mmetulia yaan sijui unajiskiaje?au mkeo anakwambia baby subiri kidogo niongee na baba flan..au anaongelea pembeni...!!!!au mbele yako...au unakausha tu!!!!
Na ukimwangalia huyo mtoto wake unajiskiaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata Mimi sikumoja niliwahi kujiuliza maswali kama hayo lakini sikupata majibu... Inataka moyo lakini
 
Back
Top Bottom