Kabla ya mahusiano kukolea nilazima ukweli ukamilike kwanza bila ya kuacha Jambo lolote then Sasa mahusiano yanaweza kolea au kughairisha kabisa Ila mkidanganyana Basi hapo matokeo yake huwa ni hayo.
 
Nimesoma post yako. Nilichokiona kwako unataka wanaume wote wawe na mawazo kama yako kitu ambacho hakiwezekani. Wewe unapoona single mom hawafai kuna wanaume wengine wanaona wanafaa. Mwanamke kuwa na mtoto haimaanishi kashapoteza sifa ya kuolewa. Mwanamke mwenye mtoto anapoingia kwenye ndoa mpya huwa makini na huwa na upendo sana kwa mumewe. Ishu ya kusema kwamba atakuwa anawasiliana na baba wa mtoto ni akili ya mwanamke. Kuna wengine hawathubu hata kuwasiliana na baba wa mtoto coz wanajua anaweza haribu ndoa yake muda wowote. Ninamfano wa jamaa mmoja hapa Mafinga alioa binti mwenye mtoto. Familia yake walisema sana lakini jamaa akala msimamo kwamba moyo wake unaamani na yule binti. Jamaa akamuoa na kuishi nae. Kitu cha kwanza jamaa akampenda yule mtoto kama mwanae na akampa ubini wake. Watu wengi wakajua ni mwanae. Baadae yule binti akamzalia jamaa mtoto wa kiume na wakawa wanapendana sana. Sasa hvi wamefanikiwa kimaisha vizuri na wanaishi kwa furaha. Jambo la msingi ni upendo hayo mengine ni mbwembwe tu

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Poleni na mfumko wa bei katika nchi yenye maziwa na asali huku thamani ya pesa ikiwa chini.

Katika pilikapilika za maisha nikakutana na mwanamke ambae baada ya kufahamiana vizuri aliamua kusema ukweli kuwa ana mtoto alimpata na mwanaume mwingine lakini mahusiano hayakudumu wakaachana. Lakini walikuwa hawajafunga ndoa.

Kwasasa mtoto ni mkubwa kabisa anamiaka 9. Sasa baada ya kuanza mchakato wa kuwa kwenye mahusiano dada analeta masharti mengi sana yaani kwamba hawezi kuja nyumbani kwangu hadi niende kwao nikajitambulishe na kumtolea mahari ndyo atakuja nyumbani kwangu kunitembelea. Hataki kutoka out ili tupate muda wa kujuana vizuri kupitia mazungumzo.

Pia huyu mama anataka ndoa faster faster sana hadi naogopa. Changamoto kubwa ukimuuliza kwanini aliachana na baba wa mtoto wake hana majibu ambayo yanaakili. Pia ni mdada mjanja mjanja sana. Anasema ameachana na huyo mwanaume wake 5 years ago lakini hajawahi kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine halafu ni mgoni🥱.

Kinachonishangaza huyu single mother anataka nifuate sheria kama vile bado yupo bikra. Hataki kuji expose kabisa tabia zake lakini within a month anataka ndoa. Anapenda sana pesa ambazo hazina maelezo ya matumizi kabisa. Lakini kiukweli nahitaji kumjua sana kabla sijaingia chaka maana I have trust issue!
 
Tatizo umetanguliza mashaka.
 
Ukijichanganya tu imekula kwako. Mfahamu kwa kina kabla ya kuingia kichwa kichwa kwenye ndoa. Ndoa nyingi siku hizi zinageuka kuwa ndoano muda mfupi baada ya kufungwa........
 
Nakupa ukweli mchungu, Huyo singomaza kashakuona Wew pimbi, zuzu na unampenda Sana ndo maana anakufanyia hivo visa sababu kakuona wakuja kwa hiyo Kua makini inawezkana hata Wew mwenyew hakupendi anapima tu upepo Kama utamuoa Sawa Ili nayeye aonekane Ana mume na vile vile inaonesha wew Una vihela, so Kua makini Sana Hapo soon utapigwa na kitu cha ncha Kali kwa kisogo...
 
Mkuu asipokuelewa basi akae mkao wa kupigwa na kitu chenye ncha kali.......
 
Back
Top Bottom