Hivi huu mjadala wa kishamba wa kuwatoa maana single mother ni hoja Tanzania tu au na mataifa mengine?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,813
45,499
Unaweza ukapoteza single mother wa kukusaidia maishani kwa sababu ya uchoyo na ubinafsi na chuki na kiburi.huijui kesho yako wape watu nafasi waishi.unaweza kukuta huyo unayemuona hajazaa amewahi kutoa mimba mbili na ashafanya mapenzi zaidi ya mara 500 Ila single mothers ukakuta amefanywa mara 70 tu na kapata mtoto means ni mzima.kuhusu hoja kwamba kupasha kiporo na baba mzazi ni uongo baba wazazi wengi wamevurugwa hata hawatunzi watoto wamebaki kuhudumiwa na bibi zao mungu ni mwema wanakula na kusoma hakuna tena mapenzi na baba zao mtu akikupenda mpende muheshimu.

Najua mshaelewa kilichonikuta nime fall in love kwa mama fulani maisha yenyewe yanaenda kasi sana miaka kumi nyuma unaona kama juzi tu kumbe umekuwa unahitaji na wewe kufanya vya maana na ukikaa na mke hela unaiona wanawake kwenye kuzungusha hela ni hodari kuliko sisi na siokukimbilia kufunga Harusi.Ndoa sio lazima we vuta wazazi siku hizi waelewa wanajua maisha yamechange hawawezi kukunyima ule raha na mtoto wao sasa hivi tuwape chapuo single mother ni wachapakazi tuwape nafasi.
 
Mataifa yote duniani single maza hawakubaliki

Tembelea platforms mbalimbali utajionea hakuna nchi single maza ana thamani
Kila mtu Ana sababu zake we nikuulize Kwa mfano single mother mtoto wake akiishi Kwa bibi yake huko kwao ana athari gani Kwa familia yenu mwanamke ni mwanamke tu japo kweli Wanaume wanapenda kuzaa first born wao Kwa mwanamke ambaye sio single mother.
 
Single mother yoyote atakwambia "atakaenipenda mimi ampende na kumkubali mwanangu pia", maana yake rahisi ni kwamba nitampa mzigo/s£x kama malipo ili achukue nafasi ya baba mzazi aliekimbia na atoe huduma zote kwangu na kwa mtoto

Tafakari hili chukua mda wa kutosha
 
Kumbe umefoli in lavu😂 hapo sawa. Ndio umeona uje kumtetea singo mama wako jamii forum😂 tabu sana
Unaweza ukapoteza single mother wa kukusaidia maishani kwa sababu ya uchoyo na ubinafsi na chuki na kiburi.huijui kesho yako wape watu nafasi waishi.unaweza kukuta huyo unayemuona hajazaa amewahi kutoa mimba mbili na ashafanya mapenzi zaidi ya mara 500 Ila single mothers ukakuta amefanywa mara 70 tu na kapata mtoto means ni mzima.kuhusu hoja kwamba kupasha kiporo na baba mzazi ni uongo baba wazazi wengi wamevurugwa hata hawatunzi watoto wamebaki kuhudumiwa na bibi zao mungu ni mwema wanakula na kusoma hakuna tena mapenzi na baba zao mtu akikupenda mpende muheshimu.

Najua mshaelewa kilichonikuta nime fall in love kwa mama fulani maisha yenyewe yanaenda kasi sana miaka kumi nyuma unaona kama juzi tu kumbe umekuwa unahitaji na wewe kufanya vya maana na ukikaa na mke hela unaiona wanawake kwenye kuzungusha hela ni hodari kuliko sisi na siokukimbilia kufunga Harusi.Ndoa sio lazima we vuta wazazi siku hizi waelewa wanajua maisha yamechange hawawezi kukunyima ule raha na mtoto wao sasa hivi tuwape chapuo single mother ni wachapakazi tuwape nafasi.
 
Dunia nzima hii, ata miaka ya zamani enzi za kina Yuda.
Screenshot_20240508-230648.png
 
Kila mtu Ana sababu zake we nikuulize Kwa mfano single mother mtoto wake akiishi Kwa bibi yake huko kwao ana athari gani Kwa familia yenu mwanamke ni mwanamke tu japo kweli Wanaume wanapenda kuzaa first born wao Kwa mwanamke ambaye sio single mother.
Hauwezi kumtenganisha mama na mtoto wake.

Hawa single maza ni wanafiki sana wanaume wajinga walidanganywa hivyo hivyo mwisho wa siku mtoto akaletwa wakaanza kulea bao la wanaume wenzao

Iko hivi ndege JOHN Kanuni ni zilezile inapohusu single maza

●Hatulei bao la mwanaume mwingine

●Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake sio ajiunge kwenye familia ya mwanaume mwenzake

●Single maza waolewe na baba za watoto wao

●Single maza ni wa kupiga na kusepa

Ni mwanaume mpumbavu na mjinga tu ndiye anayeweza kumuoa single maza

Learn or perish
 
Mataifa yote duniani single maza hawakubaliki

Tembelea mitandao mbalimbali utajionea hakuna nchi single maza ana thamani

Reddit, quora n.k kote huko single maz wanasimamgwa

Na jamii iko sahihi kutowakubali hawa single maza
Lakini cha ajabu wanaolewa karibu kila siku
 
Back
Top Bottom