tasnia

Nuzhat Tasnia (born 31 December 1996) is a Bangladeshi cricketer. In November 2021, she was named in Bangladesh's team for the 2021 Women's Cricket World Cup Qualifier tournament in Zimbabwe. In January 2022, she was named as one of three reserve players in Bangladesh's team for the 2022 Commonwealth Games Cricket Qualifier tournament in Malaysia. The following month, she was named as one of two reserve players in Bangladesh's team for the 2022 Women's Cricket World Cup in New Zealand.

View More On Wikipedia.org
  1. kalisheshe

    Tasnia ya Habari na vifo vya mapema, nini kipo nyuma ya pazia?

    Wanahabari, Isack Gamba, Ahmed Juma Baragaza, Fredwaa, Ephraim Kibonde, Agnes Almasy, Samadu Hassan, Gardner G Habash, Prince baina kamukulu na wengine wengi wameondoka wakiwa na umri mdogo. Inaweza ikawa ni kawaida au isiwe kawaida hasa tukifanya ulinganifu na tasnia nyingine ambazo ni siasa...
  2. Ncha Kali

    Kwanini tasnia ya ushereheshaji imehodhiwa na wachekeshaji?

    Hili swali nimeulizwa na huyu mtoto wangu mdogo! Kila mcheshi anadhani anaweza kuwa MC na wengi wamevamia huko, cha ajabu ni wachache sana kati yao wenye angalau. Japo lengo lao kujipatia chochote kitu ila wengi wao ni hovyo kabisa, sherehe sio jukwaa la vichekesho. Washereheshaji mahiri wala...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ucheshi mtakatifu kwenye tasnia ya usafiri wa anga

    Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege. Milango ilipofungwa maprofesa wote walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao. Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka. Isipokuwa profesa mmoja tu alibaki ameketi kwa ujasiri na utulivu. Kuna mtu...
  4. Mhafidhina07

    Waziri wa Michezo anataka kuua uchumi katika tasnia ya michezo, tujitokeze kulaani kauli zake

    Kufatia kauli ya Waziri wa Michezo Mh. Ndumbaro kuwa watawashughulikia wale wote watakaokwenda kuwapokea na kuwashangilia timu pinzani nje na Tanzania ni uamuzi wa kupigwa vita kwani unaenda kuua soka na hata uchumi wa timu zetu. Imagine mashabiki wananunua jezi za timu pinzani na hata kuingia...
  5. Kyambamasimbi

    Ni wakati Sasa vyuo vya Sanaa kutambua mchango wa Mtangazaji Masoud Masoud katika tasnia ya Muziki

    Habari wanaJF. Ukweli ni kwamba vyuo vikuuu na vyuo vingine vimekuwa vikitambua na kuwatunuku PhD katika kutoa huduma fulani katika jamii. Lakini Kuna nguli wa Utangazaji na Mwana Ethnomusicologist Yaani mtaalam wa sayansi ya Muziki na amekuwa akichambua historia na general structure ya...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Aisha Ulenge: Rasilimali Watu Wanawake Waingie Kwenye Tasnia Zenye Wanawake Wachache Ili Jinsia Zote Zishiriki Katika Maendeleo Endelevu

    MBUNGE Aisha Ulenge Amesema Rasilimali Watu Wanawake Waaingie Kwenye Tasnia Zenye Wanawake Wachache Ili Jinsia Zote Zishiriki Katika Maendeleo Endelevu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga, Mhe. Mhandisi Mwanaisha Ng'anzi Ulenge Amesema tunapokwenda kuzalisha Rasilimali watu na kuilea Rasilimali...
  7. UKWAJU WA KITAMBO

    TANZIA Pengo lingine kwenye tasnia ya muziki wa bongo Fleva. Richard Ramadhan Tunda afariki dunia

    RICHARD TUNDA:KIFAA TOKA TIP TOP CONNECTION, AMEFARIKI DUNIA NI MDOGO WA MKALI WA BONGO FLEVA TUNDAMAN.. JINA: Richard Ramadhan Tunda KUZALIWA: Februari 3, 1989 (Miaka 35) ALIPOZALIWA: Kinondoni, Dar es Salaam.. KIFO : 16 Februari 2024. SANAA: Muziki wa Bongo Fleva.. HISTORIA YA MAREHEMU...
  8. GANJIBHAAI

    Ni kwanini kwenye ukuaji wa tasnia ya mziki wa kizazi kipya mchango wa shule za sekondari miaka ya 90 haupewi uzito wake?

    Mimi ni mkereketwa mkubwa wa mziki wa kizazi kipya hasa Hip Hop, Soul and R&B toka miaka ya tisini, nimeshuhudia mabadiliko makubwa ya mziki huu kuanzia matumizi ya vinyl, tapes, disc, mp3, mp4 mpaka leo hii. From turntables, radio cassette, walkman cassette, disc player to all blessed...
  9. Kigoma Region Tanzania

    Utofauti kati ya Kombora na Kipapai katika tasnia ya uchawi

    Dondoo kadhaa kuhusu nadharia ya KOMBORA na KIPAPAI kwa yale yanayotendeka katika ulimwengu mpana wa giza. Ni kazi kubwa kushindana na mchawi na ukashinda, mchawi na uchawi ni taasisi kubwa, ambayo huanzia ngazi ya kitongoji, mtaaa/Kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, kanda, kitaifa na...
  10. Replica

    Happy Birthday Tido Muhando, mwamba imara kwenye tasnia ya Habari

    Alianzia redio ya Taifa, Radio Tanzania Dar Es Salaam, kabla ya kuelekea Kenya ambako alifanya kazi kwa miaka mingi kabla ya kujiunga na shirika la utangazaji la Uingereza, BBC katikati ya miaka ya 1990. Mojawapo ya maswali aliyoomuuliza Rais Magufuli ilikuwa kuhusu Demokrasia nchini na...
  11. S

    Ombwe la tasnia ya mawasiliano limetengenezwa wa miaka mingi na linaipa shida serikali kwa wakati huu.

    Tasnia mbili bado zipo nyuma na madhara ya hatua za taratibu za kusogea kwa maendeleo ya tasnia hizo yanaonekana dhahiri kabisa. Tasnia ya polisi na tasnia ya bahari. Polisi wetu mpaka kesho wanafanya makosa mengi yanayodhihirisha kuwa namna wanavyoingia vyuoni kuna wepesi ambao unaiumiza...
  12. M

    SoC03 Jinamizi kwenye tasnia ya uandishi wa habari,Yahitaji mapinduzi na mabadiliko chanya

    Utangulizi. Habari wanajamvi.Katika karne hii ya Teknolojia na Utandawazi,asilimia kubwa ya watu hutamani kujitupa kwenye Uandishi wa habari.Uwepo wa mitandao ya kijamii ndio umezidi kurahisisha uwasilishwaji wa habari.hii inapelekea kila mtu atamani kutoa habari bila kujali amesomea au...
  13. BabaMorgan

    Nilichojifunza: Kama kwenye tasnia yenu mpo wengi basi maslahi yenu yatakuwa duni

    Mnapokuwa wengi kwenye tasnia ndipo hapo maslahi yenu yanazidi kuwa chini. Let's start. 1. Kuna route za bodaboda zilikuwa 3000 lakini ongezeko la bodaboda likafanya hizo route zishuke mpaka 1000 ukilia mpaka 500 unapelekwa. 2. Waalimu wapo wengi kinachotokea wenyewe mnakiona licha ya hadhi...
Back
Top Bottom