pazia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania NYUMA YA PAZIA. Kwanini Heche ni Pandikizi Jipya kwenye upinzani?

    1. Hawezi kuja na hoja zenye uelekeo thabiti wa mabadiliko bali huja na mawazo ya Jumla Jumla tu. 2. Wakati wa kampeni zilitoka tuhuma dhidi yake za hisa kwenye mashimo ya dhahabu. Hazikujibiwa zaidi yaa kuzuia kuchafuana. 3. Hajawahi pata kashkash za kipinzani. 4. Alikuwa sehemu ya Mpango wa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mbona ripoti ya Hon Chande inapongozwa kabla haijatoka? Kuna nini nyuma ya pazia?

    Kila mtu hasa waandishi kama Salim kikeke maulid kitenge wanaisifia ripoti hata kabla haijatoka n kwamba wenzetu tayari wameiona Ripoti inatolewa leo lakn WATU wanaisifia sijaelewa nn maana yake Hii nchi kuna sehemu imefika kila kitu n kisifia na haya hayaji hvhv laZma kuna WATU wapo nyuma...
  3. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Maisha ya wasanii wetu nyuma ya pazia

    🧵 TAFAKURI: Maisha ya Wasanii Nyuma ya Pazia – Kuna Nini Kinaendelea? Kuna jambo huwa linanikaa kichwani kila mara ninaposikia habari za wasanii kufariki katika mazingira ya kutatanisha. Sio kwa lengo la kuhukumu, bali kujiuliza tu… je, tunawajua kweli hawa watu tunaowashangilia kila siku...
  4. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya pazia mfululizo wa misukosuko ya Chadema?

    Katika siasa, mara nyingi matukio makubwa huanza kama ishara ndogo, lakini zenye ujumbe mzito uliojificha ndani yake. Kwa kipindi cha takribani mwaka mmoja sasa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimekuwa kikikabiliwa na mfululizo wa matukio mbalimbali hasa misukosuko ya kisiasa na...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia kufilisiwa kwa Sahara Media Group, na hatma ya RFA, Star TV na Kiss FM

    Taarifa kuhusu mchakato wa kufilisishwa kwa kampuni ya Sahara Media Group imeendelea kuvutia mjadala mpana hasa kwenye mitandao ya kijamii, huku wadau wengi wakibaki na maswali, pengine hata yasiyo na majibu ya moja kwa moja. Kwa mujibu wa taarifa zinazoendelea kufuatiliwa kwa kina, imeelezwa...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Majaliwa na Mpango kuteuliwa kama washauri wa Rais ni mkakati wa kupambaza

    Majaliwa na mipango kuwekwa washauri wa rais ni kuwapumbaza walidaiwa kumpinga nyuma ya pazia hizo nafasi ni hewa tu huwezi kumshauri samia chochote. Samia hashauriki chochote amewaweka hapo kwasababu ya ushawishi wao kwenye nchi na yeye amepoteza ushawishi na anakesi kubwa za mauaji ya...
  7. jamaikatz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake nyuma ya pazia kuna wanaume wengine wengi wanao mfatilia

    Usimuamini sana mke wako na hata mpenzi wako , kama una mke basi jitahidi uwe na wake 3 mpaka 4 na ukiwa na mpenzi jitahidi uwe nao kuanzia wa 4 pamoja na michepuko mingi tofauti na hapo ni ngumu, kwa sababu wanawake wa siku hizi hawaeleweki wanatongozwa sana mitaani na hawajui kukataa
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Marais watatu: Safari ya uaminifu na simulizi za nyuma ya pazia

    DEREVA WA MARAIS WATATU: SAFARI YA UAMINIFU NA SIMULIZI ZA NYUMA YA PAZIA. Ismail Mputila, dereva mashuhuri aliyehudumia marais watatu wa Tanzania kwa zaidi ya miaka 25, amesimulia safari yake ya kipekee katika utumishi wa umma. Kazi yake ilianza kama mfanyakazi wa kawaida kabla ya kupanda...
  9. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Bunge la Bajeti kuahirishwa Agosti kuna nini nyuma ya pazia?

    https://youtu.be/P0Gza-ycva0?si=-o1iG2PhuL-Aizn_ Kuna habari zinaendelea mitandaoni kuwa Bunge la Bajeti mwaka huu huenda likavunjwa mwezi Agosti 2025. Kawaida Bunge la Bajeti la mwaka wa Uchaguzi huvunjwa si kuahirishwa mwisho wa Juni au mapema Julai. Tayari Rais wa BMZ Dr. Mwinyi...
  10. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Freddy Ginwala, Movie ya kusisimua na mateso matamu

    PAZIA LA FILAMU 📽🎬 FREDDY (2022) Mungu alimbariki sana Freddy Ginwala, Akamuumbia moyo wa dhahabu, moyo wenye utajiri wa adili na ibada. Akamjaalia tabia njema zilizoambatana na adabu iliyotukuka. Mungu akamuongezea na mali za kumtosha alizoridhika nazo hakika. Unadhani Mungu wetu ana kikomo...
  11. Peter Gati

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya Pazia: Jinsi ya Kutumia Web Scraping na AI katika Uandishi wa Habari za Uchunguzi

    ingawa kazi ya waandishi wa habari za uchunguzi wakati mwingine inahusisha kuwasiliana na vyanzo visivyojulikana kwa taarifa zilizofichwa au hata kufanya kazi kwa siri, nyuzi za habari kuu mara nyingi hupatikana katika vyanzo vya wazi vinavyopatikana kwa kila mtu. Kwa sababu hii, "web scraping"...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Hati 3 za makubaliano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zina athari gani kwa Tanzania? Tumetoa nini nyuma ya pazia?

    Wakuu, Mei 5 Serikali ya Tanzania ilisaini hati 3 za makubaliano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa mpigo; 1. Rais Samia na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Abdullah Bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano baina...
  13. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Pazia la filamu 📽🎬: The Da vinci code

    UCHAMBUZI WA FILAMU 📽🎬 THE DA VINCI CODE (2006) -----‐----------------------------- Kwa desturi tunapotazama filamu yoyote ile, tunalenga kuziburudisha nafsi zetu. Sio kazi rahisi mtu akae chini kwa saa moja mpaka mawili amekodolea skrini yake kutazama filamu. Kila mtu ana machaguo yake...
  14. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Kama pazia la filamu 📽🎬: the last voyage of the demeter

    THE LAST VOYAGE OF THE DEMETER(2023) Chimbuko la hadithi: Ashukuriwe Mungu kwa kutupatia zawadi ya sanaa hapa duniani. Sanaa ni burudani ya muhimu mno katika maisha yetu ya kila siku. Hebu fikiria dunia ingekuwaje bila wasanii wa muziki, wachoraji, wafumaji, wafinyanzi, waandishi wa fasihi na...
  15. Godlove Kabati

    JamiiForums Tanzania Pazia la filamu : The house of gucci

    HOUSE OF GUCCI Ni mwaka 1978 katika jiji la Milan nchini Italia, nchi ya fasheni na mitindo mbalimbali ya mavazi. Palikuwepo familia kubwa, Familia ya Gucci. Ilikuwa familia tajiri,yenye nguvu na mamlaka kibiashara .Kila kiumbe hai kilichobahatika kuzaliwa kwenye familia hii, kiliishi kwenye...
  16. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia yanayoendelea sakata la Match ya Derby kuahirishwa

    Niseme tu Meza mliyotikisa Round hii Nyie Bodi ya Ligi ilikua na vinywaji vya gharama.
  17. Fortilo

    JamiiForums Tanzania National Interest: Kuna nini nyuma ya pazia na watu hawa, kwanini hawaipendi Tanzania, why? Usalama wetu ni salama kiasi gani?

    Ndugu zangu Umofia kwenu, Tanzania kama ilivyo nchi nyingi duniani ina wahamiaji wasio halali ( nachelea kusema harama kwa kuwa binadamu hawez kuwa haram) Tofauti na nchi nyingine, pengine watu hawa wameachwa wakawa na sauti sana katika jamii yetu, uthibitisho? Matendo na maneno yao.. Hawa...
  18. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wasiomini Mungu Wameongezeka Sana Siku Za hivi Karibuni?

    Wanabodini Habari.. Siku Za hivi Karibuni Hapa Jukwaani Na Hata Mitaani Nimeshuhudia Ongezeko Kunwa La Watu Wasioamini Uwepo Wa Mungu.. Mnadhani Shida Ni Nini? Na Nini Kifanyike Kutukomboa Sisi Na Kizazi Chetu Toka Kwenye Hii Laana?? Je Kuna Motive Behind Ya Hili Swala? Au Waabudu Shetani...
  19. R

    JamiiForums Tanzania CCM kwanini tumeona ni muhimu kuweka pazia kuliko mlango?

    Upo wakati siasa zinahitaji milango kuliko mapazia. Upo wakati mitikisiko ya milango inakufanya uchague zaidi kuweka pazia kuliko kuweka mlango. Upo mtikisiko mkubwa ndani ya CCM uliopekea wanafalsafa kubainisha umuhimu wa pazia kuliko kuendelea kung'ang'ania milango ambayo wakati mwingine...
  20. Curtain_mastertz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pazia kwa Ajili ya Nyumba na Ofisi

    Habari Wadau.Mimi ni Mdau na nimebobea kwenye Fani ya Utengenezaji/Ushonaji wa Pazia aina zote.karibuni sana Niwahudumie.0782016528
Back
Top Bottom