kombora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 100 others

    Israel imeipiga Gaza kwa makombora yenye uzito mara 3 ya ule wa kombora la nuke lililopigwa pale Hiroshima

    Ukielezea kuhusu Israel utasikia kila mtu akizungumzia six days war, operation Entebbe na covert operation ambazo walifanya pale middle east. Watu inabidi waelewe hizo story zilipendwa, ni kama miaka ile wazee wetu wanakuambia Peugeot 504 ni gari inakimbia sana, au 90's tunasikia Land Cruiser...
  2. green rajab

    Specialist wa Russia walichambua kombora la Uingereza - Storm Shadow

    Kombora la Storm Shadow linalotumiwa na Ukraine Kushambulia Russia, hatimaye limedakwa zimazima Sasa lipo maabara likichambuliwa kama samaki,, hapo ndio kwisha habari yake kama HIMARS Russia akishalisoma analitengenezea jamming yake ukilituma analirudisha lilikotoka nakulipua. Russian...
  3. Alwaz

    Houth nao sasa hawashikiki. Meli zawaka moto na nyengine yazama. Saudia waachia kombora liende mpaka Eliot

    Kila siku zinavyokwenda mashambulizi ya Houth dhidi ya Israel na washirika wake yanazidi kupamba moto. Hali hiyo inaongeza mashaka juu ya uwezo na athari ya yale mashambulio ya kila mara yanayofanywa na meli za kivita za Marekani na Uiengereza. Meli kubwa ya mizigo iliyopigwa Jumatatu...
  4. Kigoma Region Tanzania

    Utofauti kati ya Kombora na Kipapai katika tasnia ya uchawi

    Dondoo kadhaa kuhusu nadharia ya KOMBORA na KIPAPAI kwa yale yanayotendeka katika ulimwengu mpana wa giza. Ni kazi kubwa kushindana na mchawi na ukashinda, mchawi na uchawi ni taasisi kubwa, ambayo huanzia ngazi ya kitongoji, mtaaa/Kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, kanda, kitaifa na...
  5. Alwaz

    Hamas yarusha kombora zito mpaka Tel Aviv. Mtaa mzima kizaazaa

    Ikiwa ni zaidi ya mwezi sasa tangu vita vianze na huku jeshi la Israel likisema limeizingira Gaza yote kwa vifaru na kubomoa mahandaki yanayotumiwa na Hamas,ghafla leo kombora zito la masafa marefu limeonekana likipaa kutoka Gaza. Kwa mujibu muandishi wa Aljazeera aliyeko Palestina ya ukiongo...
  6. sky soldier

    Ushahidi unaoonesha jinsi Kombora lililorushwa na Hamas lilivyoshindwa kuendelea na safari likatua Hospitalini na kuua mamia

    Mji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, kwenye mida ya 18:59 live footage ilionyesha Hamas wameanza kurusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu (misfire) likadondoka kwa kishindo kwenye Hospitali ya Al-Mamamani na kusababisha mlipuko, Baada ya dakika 11 (19:10) Hamas...
  7. MK254

    Ukraine wafaulu kutumia kombora la masafa marefu, wapiga umbali wa kilomita 700

    Hiyo kama kutoka Dar hadi Tabora. Kadiri siku zinakwenda ndivyo Ukraine wanaongeza jeuri ya kufanya makuu, Mrusi hajui atoke vipi.... The Ministry of Strategic Industries reported on the successful use of long-range weapons of Ukrainian production: it hit a target from 700 kilometres away...
  8. MK254

    Jenerali wa Urusi auawa kwa shambulizi la kombora la Ukraine

    Haya makombora ya "Storm Shadow" ni habari nyingine. A high-ranking Russian general has been killed in Ukraine’s Zaporizhzhia in an airstrike carried out using British-supplied Storm Shadow missiles, according to multiple reports from both sides. Lieutenant General Oleg Tsokov was among the...
  9. Vladmir Putini

    Je, ni kweli kombora la nuclear halizuiliki?

    Hi guys 🙂 Nafikiri ni takribani miaka 78 sasa, tangu silaha za nuclear (atomic) zianze kuwepo duniani. Uharibifu unaoweza kufanywa na silaha hizi ni kana kwamba hauelezeki (ni maafa makubwa mno). Kumekuwa na stori nyingi kwamba silaha hizi haziwezi kuzuiwa na mfumo wowote wa ulinzi wa anga...
  10. I

    Namna ilivyo vigumu kwa mfumo wa ulinzi wa anga (Patriot) kuharibiwa kabisa na kombora la Hypersonic (Kinzhal) Missile

    Tofauti na wengine wanavyofikiri, ni vigumu sana kwa kombora la Hypersonic (Kinzhal) kuharibu kabisa mfumo wa ulinzi wa anga kama Patriot Air Defense System. Mfumo huu wa ulinzi wa anga kwa namna ilivyotengenezwa kufanya kazi haikai sehemu moja bali ina mifumo kadhaa ambazo huwekwa maeneo...
  11. HERY HERNHO

    Korea Kaskazini yarusha kombora la masafa marefu na kuzua wasiwasi wa kiusalama

    Korea Kaskazini imerusha kombora lake ambalo linaelezwa limefika katika êneo la bahari karibu na Japan, na kuzua wasiwasi wa kiusalama wa kikanda. Msemaji wa Baraza la Usalama, Adrienne Watson amesema rais Joe Biden na washauri wake kuhusu masuala ya usalama wanathathmini hatua hiyo ya Korea...
  12. KakaKiiza

    Urusi yarusha kombora lililoongezwa utaalamu

    Urusi imefanya kile ilichosema kuwa ni jaribio la mafanikio la kurusha kombora la "mabara" la balestiki, wiki kadhaa baada ya kusimamisha ushiriki wake katika mkataba wake wa mwisho wa kudhibiti silaha za nyuklia na Marekani. ==== Russia has conducted what it said was the successful test...
  13. S

    Marekani yafeli tena kwenye kutest kombora la Hypersonic

    Marekani imeendelea kudhalilika tena kwenye kuisaka teknolojia ya makombora ya Hypersonic. Jana Jumanne jeshi la anga la nchi hiyo ambayo imekuwa ikijigamba na kupaishwa kuwa iko mbele ya Urusi na China kwenye teknolojia za silaha za kivita imeshindwa tena ktk jaribio lililofanywa la kuisaka...
  14. HERY HERNHO

    Japan: Korea Kaskazini imerusha kinachoonekana kuwa ni kombora

    Wizara ya Ulinzi ya Japani imesema Korea Kaskazini imerusha kile kinachoonekana kuwa ni kombora. Kikosi cha Ulinzi wa Pwani cha Japani kimeinukuu Wizara wa Ulinzi wa Japani ikisema kwamba kifaa hicho ni dhahiri kimetua. Na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Korea Kusini ametangaza mnamo saa 5:09 leo...
  15. M

    Ukraine wanajikanyagakanyaga kueleza jinsi ghorofa mjini Dnepr lilivyobomolewa na kombora

    Ghorofa moja wanaloishi raia mjini Dnepr lilibomolewa vibaya na kombora tarehe 14/01/2023. Siku hiyo urusi ilirusha makombora/missiles ikilenga miundombinu ya umeme. Msaidizi wa Rais Zelensky akasema kombora la Urusi lilidunguliwa na air defense za ukraine, halafu kifusi chake ndio...
  16. Wadiz

    Mungu akiwa ndani yako kila kombora lako kwa maadui atarusha yeye

    Ifahamike ya kwamba Mungu hupenda roho safi, mioyo safi, na utakaso ndani ya nafsi zetu, hivyo basi ukimtegemea na kumuishi yeye, hutumii nguvu ya kuhangaika na Ibilisi akufuataye kwenye maisha yako. Mungu wa kweli hupigana yeye kama yeye dhidi ya maadui zako, maana kila kombora na silaha zote...
  17. The Burning Spear

    Kombora la Fr. Kitima kwa wanaosifiasifia ujinga

    Msikilize hapa, Siku maaskofu wamegeuza kibao sijui Bitozo atakimbilia nchi gani. Kikwete anawajua vizuri sana hawa bwana. bila busara zao na kuwa karibu na pengo Kikwete awamu ya pili asingetoboa Dr Slaa alikuwa kachanja mbunga.
  18. MK254

    Poland yasema kuna shinikizo/pressure kali sana isemwe kombora lilipigwa na maskini Urusi

    Japo uchunguzi unaendelea, wote wakiwemo Warusi na Ukraine wamealikwa kwenye eneo la tukio, ila Poland inasema kuna presha kali sana kwamba isemwe kombora ni la Mrusi, yaani maskini Mrusi ametamaniwa sana, ametafutiwa sababu kwa kila namna na asipokua makini hii itamponza..... Kwa sasa hivi...
  19. green rajab

    Makombora ya Urusi yaua wawili Poland

    Russia imerusha kombora na kutua Poland Two people died Tuesday afternoon after a projectile struck an area where grain was drying in Przewodów, a Polish village near the border with Ukraine, domestic media reported. Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki has called an emergency meeting of...
  20. N

    Hivi kombora lililopiga Poland ingeshutumiwa Venezuela au Iran Biden angekuwa mpole hivi?!!!!

    Taarifa hizi za Urusi kupiga kombora Poland nilitegemea ziibue panic si ya kawaida kwa NATO wote (wale halisi wa kule na hawa wetu waliopo nanjilinji, mailimoja, kwa mfipa n.k) kwa jinsi walivyokuwa wanamtafuta kwa kitendo chake cha kuvamia Ukraine. Ni wakati gani tena bora wa kumfumua mtu...
Back
Top Bottom